Jamani haya mambo ya kusema dini yangu ni bora kuliko yako huleta mfarakano na chuki pamoja na kuanza kumkufuru mungu na mitume wake,tena mabishano ya dini huwa hayana mshindi kwani hakuna atakaekubali kushindwa,ni vizuri tukafahamishana kistaarabu na kimaandiko.
God bless u all.