mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
MCHUNGAJI alikuwa
anawaombea waumini wake
akauliza;
MCHUNGAJI: Wangapi
wanataka kuokoka inueni
mikono niwaombee.....hakuna
aliyeinua mkono. Pedeshe
mmoja akapita mbele na
kupanda madhabauni na
kutangaza
PEDESHE: Jamani mchungaji
anasema wanaotaka kuokoka
wanyanyue mikono juu
jamani.....mtoto mmoja peke
yake akanyanyua mkono,
pedeshe akatoa laki tatu
mfukoni akampa yule mtoto.
PEDESHE: Haya jamani
ninaomba nirudie tena
niwaombe wanaotaka kuokoka
wanyooshe mikono juu ili
Mchungaji atuombee.....watu
wote wakanyanyua mikono
juu, Pedeshs akamgeukia
Mchungaji ili awaombee
akakuta na mchungaji nae
kanyanyua mkono juu.
Hahahaha u made my day
Usijiongopee siku za kuishi huwa haziongezeki wala hazipunguiUmeongeza siku za kuishi etii
kwa hiyo pesa siyo hatari bali ni sabuni ya roho ambayo inarahisisha mambo.
Ndio dini za kutengenezwa na wanadamu zilivyo, ni maslahi kwa kwenda mbele.
Alhamdulilah kwa kuwa muislam, hakika najivunia kuwa katika dini ya HAKI.
Ndio dini za kutengenezwa na wanadamu zilivyo, ni maslahi kwa kwenda mbele.
Alhamdulilah kwa kuwa muislam, hakika najivunia kuwa katika dini ya HAKI.
Imani ya mtu tu, yule sheikh jongo alie lia bunge la Katiba , unafkiri kalilia nn yuleNdio dini za kutengenezwa na wanadamu zilivyo, ni maslahi kwa kwenda mbele.
Alhamdulilah kwa kuwa muislam, hakika najivunia kuwa katika dini ya HAKI.