🤣🤣🤣🤣🤣ukute vyoteKati ya Nyege au umasikini kuna kimoja kinamsumbua mleta maada
Nipo sawa mkuu,ila mimi nnaelezea kupitia experience yangu maana mimi toka kuzaliwa had sasa sijawai kuwa na mchumba na nina miaka 30 na ninaenjoy maisha kinomaMkuu una uhakika upo sawa ? Hauna msongo wa mawazo?
Sisumbuliwi na vitu vya kipumbavu na tena mm sio maskinKati ya Nyege au umasikini kuna kimoja kinamsumbua mleta maada
Sawa kama ni kweli .Nipo sawa mkuu,ila mimi nnaelezea kupitia experience yangu maana mimi toka kuzaliwa had sasa sijawai kuwa na mchumba na nina miaka 30 na ninaenjoy maisha kinoma
"Maisha siyo kutesa kila siku but Pesa ndiyo kila kitu ,TABASAMU NIPATE FURAHA" - Byserukiwa nayo maisha yako yamejaa furaha kabisa.achaneni na mapenzi tafuten hela. mapenzi ni uzushi wa kipumbavu hauna faida yeyote.mapenzi hayana dhamana ni ushenzi tu wa mwanaapollo. tafuten hela ndiyo mapenz ya kwel ishi single kataa ndoa,kataa mahusiano,kataa zinaa ishi kitakatifu.