KAKA A TAIFA JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 566 Reaction score 83 Sep 26, 2011 #1 Jamani nisaidieni kama kuna nchi ambayo inatumia pesa mpya na za zamani kwa wakati mmoja,hasa yanini kuchapa mpya wakati za zamani zipo kwenye mzunguko?angalia hiyo noti na uchakavu wake mnipe maoni yenu Attachments scan0003.jpg 28.5 KB · Views: 197
Jamani nisaidieni kama kuna nchi ambayo inatumia pesa mpya na za zamani kwa wakati mmoja,hasa yanini kuchapa mpya wakati za zamani zipo kwenye mzunguko?angalia hiyo noti na uchakavu wake mnipe maoni yenu
Yuri G Member Joined Aug 7, 2011 Posts 87 Reaction score 14 Sep 26, 2011 #2 sijui kwann hizi noti mpya zinachakaa ajabu yaani wametoa afadhali wameweka potelea mbali!
G gkalunde Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 108 Reaction score 13 Sep 27, 2011 #3 Mimi huwa napokea noti hizo kwa kinyongo sana wala huwa sipendi kukaanazo kabisa nazinunulia kitu hapohapo.
Mimi huwa napokea noti hizo kwa kinyongo sana wala huwa sipendi kukaanazo kabisa nazinunulia kitu hapohapo.
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Sep 27, 2011 #4 Hayo ndio mambo ya wazee wa "uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia ....."
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,718 Sep 27, 2011 #5 nitarudi hapa
M MAMENGAZI JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 779 Reaction score 129 Sep 27, 2011 #6 Hii nchi ni kichwa cha mwendawazimu, kila mtu anajifunzia kunyoa!!!
K Kachest Senior Member Joined Nov 6, 2010 Posts 191 Reaction score 20 Sep 27, 2011 #7 Nchii hii ina wanasiasa uchwara, wanauchumi uchwara na wanamipango uchwara wewe unategemea nini kama si uchwara?
Nchii hii ina wanasiasa uchwara, wanauchumi uchwara na wanamipango uchwara wewe unategemea nini kama si uchwara?
P pat john JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 245 Reaction score 38 Sep 28, 2011 #8 Uchumi wa nchi hii unaanza kupaa