PESA HII BADO INATUMIKa?

Hii noti ya mia ilipaswa kuwa ndio noti ya denomination kubwa.
 


Ndugu zangu mupo? miaka 50 ya uhuru kama noti hii ya sh 50, wewe ulikuwepo katika enzi za hela hii?

Hii niliitumia aisee tulikuwa na kiosk home ndo nilikuwa nachomoa, shuleni nilikuwa bosi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…