Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
Pesa zimefunika hadi utu..mtu yuko tayari kuchinja binadamu mwenzie kama kuku kisa pesa..
Mtu akiamka asubuhi anawaza pesa tu... Barabarani watu kibao wanahangaika kwa mamia wanapishana.. Wauza matunda, vyakula, wengine nguo.. Madereva.. Yaani kila mmoja na kazi yake lakini wanachokitafuta kimoja tu.. PESA.
.
Pesa imefanya hadi mapenzi ya kweli yatoweke.. Sasa hv ni pesa tu..maslahi
Pesa inafanya mzee amwamkie kijana bila kupenda..
Pesa imefanya baadhi ya watu wageuke miungu watu..wanaabudiwa wakionwa watu wanatetemeka.
Leo huna ata sh kumi na njaa imekubana akija mtu na kukuwekea burungutu mbele hata akisema umlambe makalio utamlamba tu..
Mungu alishaliona hilo ndo maana akaweka taadari mapema.. Watu ingefika sasa qanaabudu pesa nayeye wangemsahau kabisa