Pesa au show kali

Pesa au show kali

boobookitty

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
255
Reaction score
174
Haaahaaahahaa.Usimind navyocheka nina furaha zangu binafsi.

Twende kwenye point, sasa kuna huu ubishi flani mpaka wasanii wakauimba! Mapenzi au pesa. Ukiniuliza Mimi kitty nashindwa pa kujibu. Dizaini mapenzi pesa, coz nitakua na baby wangu ananipa mipesa halafu his busy 24/7 but makiss na hug sipati maromance huku kakatokea kajitu kananipa show za maana halafu hana doo lazima nidate kwa huyu.

Lakini sasa �� uku nna huyu mpiga shoo halafu pesa hana akitokea wa kunipa doo tena ntamcheat dah. Sielewi sema mi nafagilia mpiga show coz mwisho wa siku show sihudhurii halafu unanipa pesa hizo pesa won't make me cum loh! At the end of the day nitakula pesa zako halafu nitaenda kuhudhuria zangu show huko.

Dizaini mapenzi sio pesa kwasababu 95% ya wanaume wanatupenda wanawake tukiwa hatuna hela but kwa wasichana inakua ngumu sijui nature au kitu gani? Okay I know kuna guys wanapenda wanawake wanaojiweza. Embu handsome boys here MMU toeni yenu mawazo as well as cute ladies here.


** I love you guys ������������������
 
boobookitty

]mtu husema kilichomjaa rohoni.we mwanafunzi gani kila post yako ni ngono
 
Last edited by a moderator:
mtu husema kilichomjaa rohoni.we mwanafunzi gani kila post yako ni ngono

Ina maana ananogewa karibia kurukwa akili; huyo ndiye mwanamke wa ukweli mwanamke kaumbwa kumuwaza mwanaume saa zote. Hakuna kingine kiwezacho kujaza moyo wa mwanamke zaidi ya mwanaume ingawa wanaume hawawazii hayo hata kidogo wao wanakula tu kama vile njaa na chakula
 
View attachment 252452

View attachment 252453

View attachment 252454

Mullah.jpg
 
Mbona hamsikii, mmeishaambiwa 'mapenzi pesa, ufundi pelekeni veta' fullstop!!
 
vyote kwa pamoja vinatakiwa. mtu asojua kla hata kisss aende akafanye hizo pesa zake. na fundi wa mapenz km una phd af pesa sifuri mkizipata mnasahau kila kitu mnazibuka vibaya wachache wanaokumbuka. ufundi wako peleka veta.
 
............Dalili mojawapo kubwa ya Malaya ni kuufanya uchi wake kama kitega uchumi pale anapogawa penzi ili apate pesa.

Leo tutawajua, mleta uzi katusaidia!!

NB:- Huu ni mtazamo binafsi, sio lazima niwe sahihi maana neno langu si sheria.
 
............Dalili mojawapo kubwa ya Malaya ni kuufanya uchi wake kama kitega uchumi pale anapogawa penzi ili apate pesa.

Leo tutawajua, mleta uzi katusaidia!!

NB:- Huu ni mtazamo binafsi, sio lazima niwe sahihi maana neno langu si sheria.

Huyounaemuongelea ni SHANGINGImalaya anapigwa pumbu bureeeeeeeeee, a.k.a mama hurumaaaaa:becky:
 
Back
Top Bottom