PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Guys PC yangu ina hzo specifications ila person 2017 inastuck kila baada ya mech 2 yaanai inaanza slow motion za ajabu mpaka raha ya kucheza inapotea. Nisaidieni jinsi yakulitatua hili tatizo. nafanyaje?
 
Page one hapo juu kuna maelezo ya kutosha

Gb 7.7
Viwanja gb 2+


Ila waweza kuvumilia kama unaweza mwezi wa nane itoke next season 2019-2020.

Siwezi kupata link ya updates ama namna ya Ku-update maana niko mbali kwa sasa
 
Serkiro shadow die twice dah hii ni game mpya ya mwaka huu kali sana sema ngumu kinoma asee hadi inabidi nitumie cheat
engine

 

Attachments

  • Sekiro 7_4_2019 4_17_47 AM.png
    598.2 KB · Views: 22
  • Sekiro 7_4_2019 4_17_53 AM (1).png
    567.2 KB · Views: 24
  • Sekiro 7_4_2019 4_17_53 AM.png
    558.8 KB · Views: 13
Wakuu kuna fifa 2019 pc nlipakua .. Gamepad zimejichanganya left inaenda right na right inaenda left na ile kirungu nayo inajimix nikizungusha inaenda direction tofaut.. Nini solution yake wakuu...naombeni msaada
 
Wakuu kuna fifa 2019 pc nlipakua .. Gamepad zimejichanganya left inaenda right na right inaenda left na ile kirungu nayo inajimix nikizungusha inaenda direction tofaut.. Nini solution yake wakuu...naombeni msaada
 
Msaada jinsi ya kuweka real trophies kwenye pes 2017... yaani Epl, world cup na Makombe mengine yawe real. Nimehangaika sana wakuu
Kama unatumia patch ya smokepatch 17 make sure umeinistall sider pack sp17
Then add on.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…