kholo JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 413 Reaction score 76 Nov 30, 2013 #1 Heshima kwenu wadau, naomba mwenye maujuzi anisaidie kuinstall gemu ya mpira(pes) kwenye pc maana nimeinstall lakini nikirun inaniambia niinsert disc. Plz help wadau
Heshima kwenu wadau, naomba mwenye maujuzi anisaidie kuinstall gemu ya mpira(pes) kwenye pc maana nimeinstall lakini nikirun inaniambia niinsert disc. Plz help wadau
A Arkam Raiden Member Joined May 13, 2014 Posts 5 Reaction score 0 May 26, 2014 #2 basi ukiona hivyo ujue bado hujaistall vizur sw😕
stata mzuka JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 4,834 Reaction score 1,765 May 26, 2014 #3 Arkam Raiden said: basi ukiona hivyo ujue bado hujaistall vizur sw😕 Click to expand... Sure mkuu