Personal security in Nairobi

Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,751
4,965
1458011766558.jpg
While at the Dubai Airport this morning I came across this advertisement in the gulf news . This is a recruitment of foreign workers and a very bad image to the nation.

Hawa wahindi wanachama kwetu na hawaoni kichechefu kuaibisha nchi yetu. Despite of the insult I am sure the Minister will personally take the employment approval to the home of the Indian tycoon, who plungers the wealth of Kenyans.
 
Unataka kuajiriwa wewe mzawa? basi changamkia hiyo fursa kama una vigezo vyote vya bosi wako mtarajiwa.

Niulize tu, mbona raia wengi wa Kenya wapo katika ajira za ulinzi nchi za nje kama Iraq , Afghanistan n.k je utamuliza pia waziri?
 
Back
Top Bottom