Kwa kiswahili cjui ndugu,ila ni ishu ya neva za faham kuwa over sensitive to temperature.Ni ugonjwa gan kwa kiswahili??
[emoji51]Kwa kiswahili cjui ndugu,ila ni ishu ya neva za faham kuwa over sensitive to temperature.
Sent from my VFD 1100 using JamiiForums mobile app
Nimetumia sana neurobin,multvitamin,zincovit,nutravit,prednison,ligaba,amitriptyline nk,samaki na dagaa nnakula kwa sana maana nipo ziwani,ARV ctumii ningekuwa natumia nisingekuja hapa jukwaani kuuliza.Mkuu peripheral neuropathy inaweza kusababishwaa na
1:kisukari
2:ukosefu wa vitamin B12
3:baadhi ya madawa mfano dawa za kupunguza makali ya ukimwi ARV
MKUU TUMIA SANA SAMAKI ,NYAMA,MAINI,MAYAI N.K
From my own experience.fanya mazoezi sana ya hivyo viungo mf kama ni vidole kunja kunjua nyoosha repeatedly kula matunda na mboga za majani.it worked a miracle to me after 1 month.Nimetumia sana neurobin,multvitamin,zincovit,nutravit,prednison,ligaba,amitriptyline nk,samaki na dagaa nnakula kwa sana maana nipo ziwani,ARV ctumii ningekuwa natumia nisingekuja hapa jukwaani kuuliza.
Vipi mzee ulipata tibaTiba mbadala