born to win
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 561
- 168
Wadau wapi zinapatikana perfume za kupima (oil) kwa bei ya jumla zikiwa namna hii?
Kama upo Instagram nenda mtafute @albattash_perfume yuko zanzibar lakini
😂😂😂 Hata Mimi sijaelewa lakini kwa sababu sijaelewa najua hainihusu ngoja nipite kimya kimya.Duh kwel ukiona huelewi jua haikuhusu...perfume za kupima oil?
Kama upo Instagram nenda mtafute @albattash_perfume yuko zanzibar lakini
Hongera kwa kufanikiwa. Biashara njemaAhsante sana nimefanikiwa