Perfume hizi original kwa bei rahisi

flamini

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
596
Reaction score
793
Sikukuu hiyo apo inanukia na wewe lazima unukie
Nina pefyum mbili hizi ni original nauza kwa bei ya kutupa sababu mwaka unaisha huu.

30,000 kila moja hapo
Napatikana dar es salaam
0675206637
 
Karibuni ujipatie mzigo leo.
 
Kweli vyuma vimekaza,japo bei rahisi lakini zimekudodea mpaka leo?duh pole sana
 
Kweli vyuma vimekaza,japo bei rahisi lakini zimekudodea mpaka leo?duh pole sana
Labda ni copy mkuu, halafu wapalestina / Syria wameleta zile wanaita first copy ni nzuri, tatizo hizi hata Kariakoo wanatengeneza na hivyo watu kuogopa kuvaa mikenge.
 
Labda ni copy mkuu, halafu wapalestina / Syria wameleta zile wanaita first copy ni nzuri, tatizo hizi hata Kariakoo wanatengeneza na hivyo watu kuogopa kuvaa mikenge.
Hapana mkuu sio copy,ni original jamaa yupo sahihi kua vyuma vimekaza zimedoda maana nilishauza kabla humu humu perfumes, hizi ndo zimebakia mbili tu na nimepunguza nusu ya bei mkuu.Watu wamepunguza kununua anasa mkuu.
 
Nataka ya Buggati..alafu weka na za kiume hata 200k wengine vyuma havijakaza sana[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Labda ni copy mkuu, halafu wapalestina / Syria wameleta zile wanaita first copy ni nzuri, tatizo hizi hata Kariakoo wanatengeneza na hivyo watu kuogopa kuvaa mikenge.
Hizo first copy znapatikana duka gani dar mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…