P pera Senior Member Joined Jul 19, 2011 Posts 148 Reaction score 16 Jul 23, 2011 #1 pia 2nawaletea umeme wa kupima
P Parachichi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2008 Posts 510 Reaction score 104 Jul 23, 2011 #2 mmh kama huna cha kupost kwani lazima??
P pera Senior Member Joined Jul 19, 2011 Posts 148 Reaction score 16 Jul 23, 2011 Thread starter #3 ili kukabiliana na mgawo wa umeme 2meamua kuwaletea mabwawa ya kukodisha
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,378 Jul 23, 2011 #4 sasa hivi umeme issue kubwa baada ya kukata kwa masaa kumi na mbili wakirudisha wanarudisha kwa 30min only wanakata hiyo ujue kesho saa kumi na mbili tena kesho yake!!! maji yamefika shingoni nchi inadidimia
sasa hivi umeme issue kubwa baada ya kukata kwa masaa kumi na mbili wakirudisha wanarudisha kwa 30min only wanakata hiyo ujue kesho saa kumi na mbili tena kesho yake!!! maji yamefika shingoni nchi inadidimia