Nafikiri atakuwa amekosea kuandika.Sorry hapo mwanzo "Mwami Yesu Asingizwe" maana yake nini ?
Au itakua Salam ya kilugha. Haiwezekan akosee sentensi nzima😂Nafikiri atakuwa amekosea kuandika.
Mkuu haya kuna jinsi ya kuyaita na yanakuwa yanakusaidia kwenye mambo yako !!Fafanua kidogo mkuu
Fortune telling.Ongezea maelezo kidogo
Mkuu haya kuna jinsi ya kuyaita na yanakuwa yanakusaidia kwenye mambo yako !!
Kwa mfano ukienda kwa mganga akipiga ramli kujua jambo litalotokea utaona anapandisha pepo la uaguzi ingawa kwa tiba yana majina yake ( mfano twaibuzinaa)
Sasa hili litamwezesha kujua na kukuambia ufanye nini?
Yanatumika sana katika kubeti na jumba ya kamali.
Kuna njia 3 za kuliita lije
Asante mkuu kwa ufafanuzi mazuri,naomba kuuliza Pepo la utambuzi na uaguzi ni kitu kimoja?NI UCHAWI PIA BIBLIA IMEUZUNGUNGUMZIA KWENYE KISA HIKI CHA SAULI KATIKA HARAKATI ZA KUMTAFUTA DAUDI 👇👇LAKINI HAPA UMEITWA "UTAMBUZI"
1 Samweli 28:7
Ndipo Sauli akawaambia watumishi wake, Nitafutieni mwanamke mwenye pepo wa utambuzi, nipate kumwendea na kuuliza kwake. Watumishi wake wakamwambia, Tazama, yuko mwanamke mwenye pepo wa utambuzi huko Endori.
KWA UELEWA WANGU MIMI NAONA NI VITU VIWILI TOFAUTIAsante mkuu kwa ufafanuzi mazuri,naomba kuuliza Pepo la utambuzi na uaguzi ni kitu kimoja?