Wakuu nimebakiza masaa 71 kujikinga na huu ugonjwa ndomu imepasuka nimegundua baada ya gemu kuisha mwenye kufahamu zinapopatikana hizi dawa anielekeze tafadhali

Huwez kupewa pep kabla ya kupimwa Ukimwi...kuna hospitali nilienda kuzifata hizo pep walivoniambia inabid nipime kwanza ndipo nipewe hizo pep nikatoka nduki