Nahitaji PeopleSoft
FSCM kwa ajili ya kujifunzia, ningependa kupata zile VM images zinazotolewa na Oracle kwenye site yao (
Hakan Biroglu: Installing PeopleSoft 9.2 pre-build virtual machine), sema bahati mbaya kuaccess mpaka kamopuni iwe na mkataba na Oracle.
Hizi VM zinaweza kupatikana bongo? Kama kuna gharama tutaelewana!