People Power Recruitment Agency

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Msaada Jamani niyoitaja hapo juu nimeambiwa ni Kampuni Ya Madalali wa kazi kama Elolink, na TaeSa Naomba mwenye Ufahamu kuhusu wao anielekeze walipo tupeleleke Cv tutkufa njaa jamani mtaani hali mbaya
 
Sidhani kama unasikilizaga taarifa ya habari.Kwa taarifa ni kwamba mawakala wa kazi wamepigwa marufuku kuendesha shughuli zao kuanzia leo if am not mistaken.
 
Shamkware nenda gengo la GEPF Jublee Tower ghorofa ya 20. Unaacha CV yako watakupigia simu.

Nasahihisha ni jengo jipya la PSPF Jubilee Tower jirani na jengo la PPF Tower ndg yangu Shamkware
 
Last edited by a moderator:
Asanteni Jamani kwa ushauri Wengine tulisha changanyikiwa hata kusikilza redio tu hamna kila kukicha unawaza wapi ukatafute kibarua
 
Na wao wanakuja kitaa kutafuta kazi km walikuwa wanakula zote
Sidhani kama unasikilizaga taarifa ya habari.Kwa taarifa ni kwamba mawakala wa kazi wamepigwa marufuku kuendesha shughuli zao kuanzia leo if am not mistaken.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…