Penzi shata shata...

Mbona Hiyo Picha Imepigwa Tu Kwa Mtindo Wa Medium Close Up Na Haijamaliziwa Tuone Hadi Huku Chini Kama Noah Alikuwa Hananihiiii?

We acha utundu huo ha ha haa! Ukimwi wanasema tuliupata toka kwa nyani... sasa sijui tutapata ugonjwa gani toka kwa Noah!...
 
Hapo unaweza kuta anamnanihii huko chini.mambo mengine lazima ujitoe ufahamu ndo ufanye .
 
Ukafiri unakugeuza mnyama. Unapokuwa na kisingizio kwamba kuna aliyekufa kwa sababu yako hivyo wewe huna dhambi wala hupaswi kufuata sheria kwani umeshaokoka unategemea uwe binadamu?
 
SupuyaPweza Huo ni uchafu Tu
Fikiria Maisha Ya Noah, Halafu unapeleka Domo Lako Hapo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…