Penzi limekufa kimasihara

Asante, swala la kupata mwingine halipingiki sijawahi na siwez kua mwenyewe muda mrefu. Nimesema apo juu nilishabembeleza sana sina tena la kufanya.
 
Divert ipo kwenye simu yako...haipo kwenye simu ya mtu mwingine...au ya huyo aliyekuwa diverted...

Ni call settings za simu yako tu... Ni utundu mdogo tu wa simu...ningekuwa karibu ningekutengenezea chap...bila gharama yoyote....na wala sina haja ya tamaa ya mapenzi...kwa wema tu...
 
Tatizo networth ya mpenzi labda ndio inafanya upate tabu kumsahau
 
Mtu na pesa zake..hakuna maisha bila pesa nazitafuta na man angu pia natarajia awe mpambanaji. Kama huna pesa kabisa hunifai.
Vp kwani huwa humsaidii wifi angu[emoji3]
Kudadeki usipende tuu pesa na hujui zinataftwaje, ukute mtu mwenyewe vivu ka nini, afu unataka vya Bure tuu, chunga sana la sivyo utafokonyolewa mpaka tope la Kwa mpalange.

Wenye pesa tunataka wanawake wapambanaji na wasio wavivu ili pesa zetu zizidi kuongezeka.
 
Unajua nimebembeleza sana nikajikuta mi ndo mpigaji cm mi ndo nianze kila kitu nikachoka nikajiongeza. Mtu anakaa kimya mwezi mzima!! Hapana aisee
Mission yake imekamilika, amekutengenezea scenario ambayo imekubomoa. Endelea kuomba msamaha na kubembeza mkuu.
 
Unashaa au unauliza? Nilipiga cm nikaelekezwa jinsi ya kufanya na iliniandikia call fowarding imekua cancelled sasa bado ipo unataka niende kwa mganga. Mxeew.
Kwanini usinge tumia akili kujua ninan kuliko kumchutumu huyo mtu moja kwa moja?, Wewe ulitakiwa mkiwa pamoja umwambie rafiki yako akupigie ili ujue je simu ya huyo mpenzi wako itaita pamoja na simu yako.
 
Seng* wewe, ungejua hata kumba pesa sijawahi mm sikua tegemezi kwake.
Nina biashara yangu.
 
Ubarikiwe mkuu
 
Mimi nakupa pole, ila nipe kazi nikuondolee upweke katika kipindi hiki cha nyege kali.

NI hivi, ,ukiwa na mtu ni rahisi kupata mtu au huyo boya akarudi, maisha ni mafupi acha kulia lia chukua hatua
 
zingatia hili mlango mmoja ukifingwa unafunfunguliwa mwngine,sasa gonga huo mlango mwingine maana siri ya mafanikio ni kugonga mlango
 
Pole hapo unasumbuliwa na uteja wa mapenzi, homa ya mapenzi, uruhusu moyo wako ujiandae kumpokea mwingine bora zaidi ya huyo mwanakwenda. Mungu kuna kitu kakuepusha nae kupitia njia hio
 
 
Ushauri mzuri saana,ila line ya mwisho umemaliza kibabe mnoo [emoji109][emoji109][emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…