Penzi limekufa kimasihara

Mi nilikua nakutafutia sababu tu ili nikuache sababu nimeshaipata sikusamehi tena hata uombe ushauri jf au CNN
 
[emoji4] anahitaji msaada wa kisaikolojia tu atakuwa sawa.Mwambie asichukulie mambo serious kiasi hicho jamaa anatikisa kibiriti tu, otherwise alishajipanga kwa tukio amepata tu sababu, so a-relax.
Unajua nimebembeleza sana nikajikuta mi ndo mpigaji cm mi ndo nianze kila kitu nikachoka nikajiongeza. Mtu anakaa kimya mwezi mzima!! Hapana aisee
 
Kuna namna ya kuzungumza na mwenzi wako kwa kushauriana. Km ulianza kumwambia kwa hasira, wengine hatupendi kufokewa.
Kama unatumia simu ndogo, ingia call center-call settings, chagua SIM card unayotaka kutoa kisha call divert - Cancel all diverts.
Natumia cm kubwa
 
Napenda kumiliki gentleman so kama anapelekeshwa hanifai napenda mwanaume shababy anaeongea kidogo tena mara moja tuu nikamuelewa.
Nimpelekeshe mwanaume!! Chinekeneeee
 
So umeshindwa kutoa diversion , kweli?
Unashaa au unauliza? Nilipiga cm nikaelekezwa jinsi ya kufanya na iliniandikia call fowarding imekua cancelled sasa bado ipo unataka niende kwa mganga. Mxeew.
 
Ni kama nimekuelewa hivi mwanaume unaambiwa basi nizime cm yangu alafu wewe ipige atapokea uyoo kidume mwenzio uongee nae eti bado haelewi, naanza kupata akili kiduchu sasa.
 
Napenda kumiliki gentleman so kama anapelekeshwa hanifai napenda mwanaume shababy anaeongea kidogo tena mara moja tuu nikamuelewa.
Nimpelekeshe mwanaume!! Chinekeneeee
Wanawake siku zote wanapenda mikimiki katika maisha.
 
Pole sana with all that renew the line, , Watu wana tetea tu hapa amna mwanaume makini ange kubali hili jambo aisee tena lina kuwa persistent nope. Magonjwa ni mengi sana
 
Pole sana with all that renew the line, , Watu wana tetea tu hapa amna mwanaume makini ange kubali hili jambo aisee tena lina kuwa persistent nope. Magonjwa ni mengi sana
Mekuelewa sana.
 
Endelea na maisha mengine, imeisha hyooo usilielie
 
Nimeshafuta na namba yake, aridhike kama ndio ilikua nia yake..sijawahi mkosea mm.
Akili yako kama ilivyo kwa wanawake wenzako umeshawaza kwamba utapata boy mwingine na maisha yataendelea ni kweli uko sahii.... Lakini jua hata huyo utakayempata nae atakuja kukutafuna na atakupiga chini kimasihara na hutaaamini[emoji23][emoji23]

Jaribu kukumbuka wakati unaingia na mshikaji kwenye mahusiano utaniamini... Sikia dada yangu pigania penzi lako wanaume sasa tumeshtuka hatutaki kuchill kwenye relationship mda mrefu sasa kumicha madem ni kitu cha kawaida sana sasa hivi tumeshakuwa na addiction ni shida tupu.

Kama mwamba hakuwa na shida before anaweza kuwa ndo mwananume wako wa maisha acha uzuzu jivike ujasiri wa kupambania penzi lako unaweza kupata maono kuhusu kesho yako.

NB:Wanaume wengi tupo hvyo.

Nikutakie kuteseka kwema[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…