Penzi limekufa kimasihara

Hapana bwana [emoji23][emoji23]haiwezekani mwenzetu ateseke watu tupo Humu aje dm bwana akitaka niwe namtumia meme fresh na vitabu
😊 anahitaji msaada wa kisaikolojia tu atakuwa sawa.Mwambie asichukulie mambo serious kiasi hicho jamaa anatikisa kibiriti tu, otherwise alishajipanga kwa tukio amepata tu sababu, so a-relax.
 
Jikaze tu kulia kulia kila muda ety unampenda aaah unamjaza upepo tu.
 
Nimeshafuta na namba yake, aridhike kama ndio ilikua nia yake..sijawahi mkosea mm.
Kuna namna ya kuzungumza na mwenzi wako kwa kushauriana. Km ulianza kumwambia kwa hasira, wengine hatupendi kufokewa.
Kama unatumia simu ndogo, ingia call center-call settings, chagua SIM card unayotaka kutoa kisha call divert - Cancel all diverts.
 
Poleee
 
Siku kichwa cha chini kikipata wazimu wake na kutaka mbususu akili itavuta kwenye network ya mbususu yako. Lazima arudi kwa speed ya mwendokasi, mwanaume hasusii mbususu hata chizi yupo chama cha chaputa🤣🤣
 
Shida, nyie wanawake, mkijiona mpo peke yenu halafu una mtu mpole mpole unaanza kumpelekesha.
Unaanzaje kumshutumu mwenzi wako wakati analinda mali yake?
Unamshutumu mtu, tena kwa hasira na kumkaripia halafu jambo hajafanya. Huwa inaudhi sana.
Huyo jamaa amefanya safi sana. Amefanya jambo la maana. Kuna mwenzake hapa naye anajiamini utafikiri tumezaliwa tumbo moja.
Nitamfanyie mbadala muda siyo mrefu.
 
Kidiveirt lazima mtu ashike simu yako.

Hawez daiveti bila kushika simu yako.

Sasa basi , ninani Huwa anashila simu yako??.

Kama hayupo hata wakike... Basi Bwanako unayempenda na kumuamin ndio ameidivert .

Na lengo la kuidaiveti alidhan Kwa kufanya Ivo atasikiliza maengezi au atawafahm wote wanaokutafuta

Na hiii yote ni sababu ama ni wivu ila wivu wakisenge au alikua anatafuta sababu ya kukuacha ndio maana AMEJITENGA MBALI NA SUALA LAKO AMBALO KAMA MWANAUME, NDIO ALIPASWA ALIBEBE ILI APAMBANE NAHUYI MJINGA ALODAIVET SIMU YA MPENZI WAKE NA KWA KUFANYA IVO, WEE NDO UNGEZIDI KUJIONA UNA BOONGE LA MWANAUME.



KUTOKA KWANGU MIMI.



ALODAIVET HIYO NAMBA NI HUYO UNAYEMUITA BWANAKO AMBAYE SASA UNALIA NA KUTOA KAMASI KISA MPUUZI HUYO ASOKUA NAKILI.

SUALA LA KUKUACHA ALIKUA NALO TOKA ZAMANI.


👉KUNA NYUZI HUMU WANAUME WA DAR, WAKIOMBA JINSI YA KUACHANA NA WANAWAKE ZAO KIUJANJA .......... UTAKUTA BWANAKO HIYO MBINU KAITOA HUMUHUM KWA WANAUME DAD, WENYE KAMPENZI YA KUTOKA, KUMBE WANAOGOPA KUHUDUMIA
WAPENZI NA WAKE ZAO.



NITAFUTE KESHO TUYAJENGE MY WANGU, ACHANA NAHUYO MBWAAAA !!.

UZURI K HAINA MAKOMBO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…