Yani miaka mi 5 yote wewe nimikosi tuuu hakuna hata mara moja ulopata bahati? kwanza umsema mwanamke huyo ndio anaekupa hela sasa unahongwa halafu anaekuhudumia unasema anakutia mkosi mkuu mbona kama sielewi unataka kusema nini? au wewe ndio unamkosi?
ungepata mikosi hata hii smart phone ingeshapotea wewe
kwana kama ni mtu mwenye mikosi hata kumtamani tu usingemtamani, kuna watu ukisex nao hata nguo zinakuwa hazikutoshi, mara vitasa vinagoma kufunguka watu hawakupigii, text, wala kukubeep watu woote kazini wanapata mishahara ila wewe unasahaulika hadi udai kwa barua achana gundu wewe hulijui tu
Ukhtiy... kweli nawe unaamini kitu hii "Mikosi" ?!?!Yani miaka mi 5 yote wewe nimikosi tuuu hakuna hata mara moja ulopata bahati? kwanza umsema mwanamke huyo ndio anaekupa hela sasa unahongwa halafu anaekuhudumia unasema anakutia mkosi mkuu mbona kama sielewi unataka kusema nini? au wewe ndio unamkosi?
Mapenzi gani ya bila kugegedana?achana na kugegeda endelea na mapenzi tu