Penzi La Ngumi!!.Wanaume??!

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Za usiku wapenzi!!.

...eeeeh!!.umekuja fasta unadhani namsema mme wangu Arovera !! akhaaa...tunapeta tu.

Nilikuwa naangalia taarifa ya habari tv1 jioni hii pia nilipata ugeni ivo sikuwa peke angu...ikaja habari ya wanaume walioko kwenye ndoa na mahusiano kwa ujumla wanakung'utwa na wake zao mpaka wanaenda kushtaki polisi...hii habari imetokea arusha!!,na huyu akaniambia alishashuhudia mwanaume anadundwa analia kama mtoto! ndo maana nikaja huku,wengine wamedai wanawake ndo wanakuwa na kauli ndani ya nyumba kulingana na kipato chao kuwazidi waume zao pia wao ndo utunza familia...lakini ndo mwanaume upigwe kabisa hadi ukashtaki polisi?!.

duh!!.noma,nashangaa wanaume wa hivi kumbe wapo?!. eti lara1 na wengne wote hii kitu ya mwanamke kumtembezea kipigo kitakatifu mme wake na kumkunja ipo sawa kweli?!., eti wanaume hii imekaaje?!

usiku mwema!!.love u my solar system wherever you are my Arovera
 
Last edited by a moderator:
Hivi hilo "jina" Arovera mbona limekakaa "kidem dem"?

Najiuliza tu ...!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hilo "jina" Arovera mbona limekakaa "kidem dem"?

Najiuliza tu ...!!

wala sitaki kuvurugwa mda huu,.tafadhal heshmu penzi la watu,.arovera ni mpenzi wangu hubby wangu,mwanaume kama wewe tena kakamilika,hyo sentensi tafadhali jiheshmu.
 
Last edited by a moderator:
Huyo Sijui alovera Ndio uliempata JF juzi? Hongera sana sana. Usimpige tafadhali
 
Last edited by a moderator:
wala sitaki kuvurugwa mda huu,.tafadhal heshmu penzi la watu,.arovera ni mpenzi wangu hubby wangu,mwanaume kama wewe tena kakamilika,hyo sentensi tafadhali jiheshmu.

Aisee ....

Haya mama kila la kheri ...

Nisije rushiwa mawe bure .....lol!!
 
Mi si nimesema nawaza jamani?

unawaza kwa maandishi??!.haya poa.

hlf hili jina Eiyer mbona kama limekaa kimama mama zaidi...mmh nawaza tu.
 
Last edited by a moderator:
unawaza kwa maandishi??!.haya poa.

hlf hili jina Eiyer mbona kama limekaa kimama mama zaidi...mmh nawaza tu.

Hahahahahaaaaaaaa ........

Usinivunje mbavu mei mwana wa mwanamke mwenzio ....lol!!
 
Mkuu Invisible naomba uipeleke chitchat tafadhali
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…