mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 428
🤣🤣Milion 6mpaka 8 za matako Yao,c.creator wabongo waongo kishenzi.
Tuanze na wewe kwanza. Huyo mlinaye mnaingiza kiasi gani?Unaambiwa couple inayotrend mtandaoni maarufu kama Meet Us, nje ya upendo ni chapa na ni brand inayowapa kipato. Ni biashara kama biashara nyingine Tsh Million 6 hadi 8 zinaingia kila mwezi kwa kuoitia brand yao. vipi wewe na huyo ulienae? Mnaingiza shingapi?