Penzi la baba

Penzi la baba

Prince Naahjum_

Senior Member
Joined
Jun 13, 2016
Posts
139
Reaction score
125
SEHEMU ya 12.

Usiku baba akarudi nikampokea kwa furaha na mabusu motomoto na nilikuwa nimejiandaa kwa kindumbwendumbwe cha usiku kucha.. Ila baba hakuwa sawa nilimuona kama mtu mwenye mawazo hivi nikamkumbatia lakini akanitoa mwilini mwake nikamshika bega akanitoa mkono wangu begani kwake nikamuuliza
"daddy vipi leo mbona sikuelewi elewi una tatizo gani au umemkumbuka mama... ?"

"Hapana Linda siko sawa leo "
akajibu.

Nikamuuliza
"hauko sawa vipi unaumwa... ?"

Akajibu "Hapana siumwi ila kuna tatizo kazini.

Akaniambia "Nimesimamishwa kazi kwa muda usio julikana hadi upelelezi ukamilike, kuna upotevu wa mamilioni ya pesa nami nimehusishwa na upotevu huo"

Nikampa pole
"pole daddy tumuombe mungu katika hili tutashinda tuu"

Basi usiku ule tukalala bure bila kufanya lolote. Kesho yake asubuhi niliamka tumbo likiniuma mno nikatapika sana, nikamuita mdogo angu anisindikize hospital.
Nilipofika nikaonana na daktari na kufanyiwa vipimo.
Mungu wangu.... Linda mie....!! Vipimo vilionyesha kuwa nina mimba.
Nilichanganikiwa sana sio siri tukarudi hom.

Nilipofika nikamweleza baba. Akanishauri tuitoe tukakubaliana kuwa wiki ijayo tukaitoe pale mwananyamala kuna doctor anafahamiana nae hivyo ataenda kumuomba anifanyie hivyo.
Gafla mlango ukagongwa kufungua kumbe ni shangazi yangu anakaa mtaa wa pili kutoka pale nyumbani kabla ya salamu tuu..

" we Linda hiyo mimba ni ya nani mdogo wako kaja kunambia umebeba mimba, ni ya nani... ?
Mbona umetutia aibu mwanangu kwenye ukoo huu hajatokea mtu kuzaa bila ndoa haya unayoleta wewe ni yapi tena... ?"

Nikakosa raha kwani nilijuwa inshu yetu imeharibika.

"haya nambie ni ya nani na anaishi wapi huyo kijana...!? "
Nikatulia kimya sikujibu neno akanishika mkono akaniniinua

"haya twende nyumbani kwangu ukanieleze vizuri "

Tulipofika kwake akaniuliza tena sikujibu, akamwita bibi mmoja jirani yake lakini sikufunguka ndipo akamwita mama yangu mdogo, anakaa mtaa wa tatu toka pale kwa shangazi, wote wakanihoji lakini nilitulia tuliiiii bila kujibu neno.

Mama akabeba bakora akanitandika mgongoni

"mpuuzi wewe sema mimba ni ya nani, si unajua majibu ya form4 yashatoka unatakiwa uendelee na elimu ya juu nitamwambia nini mimi marehemu dada akinijia ndotoni..!?"

Nikaumia sana kwa maneno yale lakini nikakumbuka kuwa sijafanya zinaa na yeyote zaidi ya baba nikalia sanaaa mama akanitandika tena bakora nikashindwa kuwa mzalendo.

"mama utaniua mwanao hii mimba ni ya baba"

"nini..!? " Wote watatu wakashangaaa shangazi akaanguka na kupoteza fahamu mama akalegea viungo vya mwili wake mkojo ukamtoka.

Nikajilaumu sana kwa upumbavu niliofanya na baba.
Shangazi alipo zinduka wakaelekea kwa baba kumhoji hapo mambo yakawa mabaya zaidi ka baba moja haikai wala mbili haisimami siri ikabumbuluka, mtaani akakosa amani.
Wakanichukua hadi hospital kunihakiki kama nina ujauzito kweli?

Vipimo vilionyesha kweli ni mjamzito na pia nina maambukizi ya VVU.

Docta akasema
"hivyo tunaomba ahudhurie clinic ya wajauzito wenye VVU aweze kupata semina ya kumkinga mtoto alie tumboni asipate maambukizi.."

Nililia sana mama na shangazi wakalia nami pale hospital. Tulipofika nyumbani tuliona watu wameizingira nyumba yetu kumbe baba alijinyonga na kuacha ujumbe ukisema.

"Nisamehe Linda mwanangu na ndugu zangu nimewakosea sana nimejiua kwa aibu hii na isitoshe kazini upelelezi umekamilika natakiwa nifilisiwe mali na kushitakiwa mahakamani nimejiua kwani hata ningebaki duniani siku moja ningekufa tuu"

Nililia sana hadi nikapoteza fahamu, nililia kwa mengi sana, hii mimba, ugonjwa, kumpoteza baba, aibu kwa ulimwengu, sisomi tena na huyu mtoto nitamlea vipi....!

(MWISHO)
Hii stori hii imetungwa na Juma Ally na kuletwa kwenu na Prince Naahjum Alsina.

Kama kuna mtu imemgusa kwa namna moja au nyingine sikuwa na nia ya kumuanika bali nimetoa elimu na funzo kwa wengi ni stori ya kweli ambapo mambo kama hayo hutokea katika dunia hii tunayoishi, unaweza sema ni upuuzi, upotevu wa maadili na kuharibu jamii..! Lakini huwezi jua kuna mwingine anayaona hayo mambo..! Msiiangalie katika baba na mwana bali katika jamii yetu..! Husisha, dada na kaka, binamu wa binamu, na kuendelea...!

Samahani kama nitakuwa nimekwaza watu na kuwa udhi.. Kwa kuwaza kuwa nilikuwa nahamasisha ngono..! Na kama hujapata funzo lolotee basi kaa kimyaa na potezea...!

Kama hukupata full story nicheki kwenye mawasilano yangu hapo chini..! Muwe na siku njema....!

CONTACT:

Watsap: 0652691819
Fb name: Prince Naahjum Alsina
Instagram: @princenaahjumaslina
Email: princenaahjumalsina@gmail.com
 
BOnge la movie......
 
Back
Top Bottom