Penzi kitovu cha uzembe

labda wameona wanajichosha watu wenyewe hawaelewi mkuu.HAWAREMBI WALA KUBEMBELEZA UNAPEWA MAJIBU YAKO LIVE LIVE KABLA HUJAKIMBIA

ha ha, me nlipima mara 2 nikawa poa japo kwa kipindi kile nilikua sina hofu sana! ila saiv nikienda pima tena inabidi nibebe mshauri nasaha binafsi ili yasitokee yakutokea.
 
ha ha, me nlipima mara 2 nikawa poa japo kwa kipindi kile nilikua sina hofu sana! Ila saiv nikienda pima tena inabidi nibebe mshauri nasaha binafsi ili yasitokee yakutokea.
siku hizi wana kipimo yaani anakupima hapo hapo mbele yako unaona daah wabongo bwana?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…