Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
- Thread starter
-
- #21
Mapenzi yenu yakiisha ulete mrejesho hapa.
Muoane tu kama unataka kuchokanaWakuu naomba kuuliza penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani?yaani yale mapenzi moto moto,maana nina mpenzi tupo mwaka wa pili sasa lkn tunapendana kama vile tumekutana jana!tunaonana sana,tunachati sana na tunatoka sana siku za weekend kumaanisha kwamba ingekuwa ni rahisi kuchokana !
Au sangoma kahusika hapa!!?
Kuna neno "Lazima" hapo? au umeamua kunilisha maneno aisee!Uliposema zitaisha
Baharia katika ubora wakoπHuku kwetu penzi jipya linaisha siku ukipewa mbunye/papuchi/kitumbua/kibubu.
Wakuu naomba kuuliza penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani?yaani yale mapenzi moto moto,maana nina mpenzi tupo mwaka wa pili sasa lkn tunapendana kama vile tumekutana jana!tunaonana sana,tunachati sana na tunatoka sana siku za weekend kumaanisha kwamba ingekuwa ni rahisi kuchokana !
Au sangoma kahusika hapa!!?
Ishi naye ndiyo utajua anavyokupenda unadhani kumjua mtu ni muda mfupi hivyo, ishi utamfahamu vizuri sana.Wakuu naomba kuuliza penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani?yaani yale mapenzi moto moto,maana nina mpenzi tupo mwaka wa pili sasa lkn tunapendana kama vile tumekutana jana!tunaonana sana,tunachati sana na tunatoka sana siku za weekend kumaanisha kwamba ingekuwa ni rahisi kuchokana !
Au sangoma kahusika hapa!!?
Ishi naye ndiyo utajua anavyokupenda unadhani kumjua mtu ni muda mfupi hivyo, ishi utamfahamu vizuri sana.
M NASUBIRI TU SIKU UTAKAYO KUJA KUOMBA USHAURI BAADA YA KUACHWA [emoji23][emoji23][emoji23]