Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
wanawake wa hivyo sio swagga hizo wapo wengi saaana sana tena kama ndio kakubahatisha hajiamini vive haalaaaa atakupigia mpaka saa 8usiku kujua kama umelala na mwanamke wacha nni hatari sana!ila p[ia nikukisa kazi kwa kweliInawezekana kuna ukweli ndani yake maana wanawake wa namna hiyo wapo.