Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,705
- Thread starter
-
- #461
Ulitumia akili kubwa sana kutengeneza bango la # tunauza# mayai duuuuuu! nlishagawahi kuiaply sehemu hii kitu na nlifanikiwa.
We dogo vipi tena mbona hutumi story.Hatari Sana mkuu.
Zipo mbinu kabambe ambazo hata demu akiziona anakuona genius na hawezi kukuacha umpite
nadhan mtunzi atakuwa amemalizia hapo.Hivi story imeishia wapi?