MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,574
- 53,613
- Thread starter
- #21
Maneno ya mkosaji hayo, kila sehemu mnayotaka kuchomoka Tanzania inawabana.
BTW, huwezi kusema al shabab hawawezi kutengeneza dola yako kama mpo hai, kumbuka hamtakaa somalia milele. Mtakuja kuondoka, na kuwaachia ardhi yao.
Tanzania inatubana kivipi, mimi hucheka sana kauli za Waswazi, ingekua nchi yenu inaongozwa na Mswazi yaani ingeangamia zamani.
Somalia tunaondoka hivi karibuni, lakini baada ya kuhakikisha Alshabaab hawapumui, na ikatokea siku waichukue dola tena nina hakika wamejifunza kutowachokonoa Wakenya. Imekula kwao sana, walikua na kila kitu, sasa wamebaki kuwa walala hoi.