Pentagon And South Korea Respond

Nasikia huku Africa ya mashariki, Kenya inalalamika uchokozi unaofanywa na Tanzania , baada ya majirani zao hao kufanya majaribio ya kurusha makombora ambayo ni Ya masafa marefu.
 
Unga wa mjomba Manji ndo upi huo?
Fundi sikuwezi kwa misamiati! 😀
Lakini unafikiri US anaweza kukurupuka tu na kumpiga Dogo, si rahisi ki hivyo bwana..
Ule mweupe sana wa watu wakubwa siyo ule wa vijana mazoba wa pale kinondoni American chips!!!
 
Kim atapotezwa c muda mrefu us akili mingi
 
Siyo kukurupuka tu hata kutuma drone ya kumchunguza hawezi anga la north ukikatiza bila tarifa hakuna warning unatunguliwa tu !!
Hii ni kweli Fundi lakini pia majirani zake wanamkingia kifua kwa maana kwamba, chochote kitakachotokea majirani nao wataathirika sana kitu ambacho sidhani Mataifa mengi yatapendelea.
 
Hii ni kweli Fundi lakini pia majirani zake wanamkingia kifua kwa maana kwamba, chochote kitakachotokea majirani nao wataathirika sana kitu ambacho sidhani Mataifa mengi yatapendelea.
Hahahahahaha unamanisha atamwaga mboga na ugali kwa wakati moja siyo ni kweli ata vurumisha ma dude kila pande na mengine yatagongana huko angani adi rada zishindwe kuona nini kinaendelea ujuwe pia kim anazo nguvu za kutengeneza tetemeko!!!
 
Haha!, kwa kweli hiyo itaitwa kumwaga mboga na ugali kwa wakati mmoja, kuna mtu humu jana kasema hivi hivi, ni hapo aanze kuyatupa ovyo ovyo, mbona tutatafutana! [emoji1]
Tena na hilo alilojaribu jana lenye kufika Alaska, anazidi kuonyesha anavyojiimarisha.
Na pia huko mbali sana mbona, akichokozwa sana sana ataanza na jirani yake Seoul.
 
Hahahahahaha unamanisha atamwaga mboga na ugali kwa wakati moja siyo ni kweli ata vurumisha ma dude kila pande na mengine yatagongana huko angani adi rada zishindwe kuona nini kinaendelea ujuwe pia kim anazo nguvu za kutengeneza tetemeko!!!

Fundi kiduku anatengenezaje tetemeko?
 
Fundi kiduku anatengenezaje tetemeko?
The quake occurred at the surface about 11 miles northeast of Sungjibaegam, North Korea, near the country's nuclear testing site.

Naturally occurring earthquakes typically occur beneath the surface. That's why this one is likely an artificial earthquake triggered by an explosion.

"Possible explosion, located near the location where North Korea has detonated nuclear explosions in the past," the USGS wrote on the incident page. "If this is indeed an explosion, the USGS National Earthquake Information Center cannot determine what type of explosion it may be, whether nuclear or any other possible type."
 
Fundi bhanaa!, umeshaambiwa the earthquake occurred near the country's testing site, and it was probably triggered by an explosion!..
 
Hahaha, eti namba ya Ras Simba, sio kwa wewe bwana.
Asee huku kutishiana sasa ni kazi, naona jamaa wameamua kumuonyesha Kim wanayo pia inayoweza kutua downtown Pyongyang.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kwa NK wanavojigamba vita ikianza hapa Marekani ataingia mazima namaanisha ataanza kabisa kukung'uta na missiles za nuclear ili asiwahiwe
 
Kula gwala mkuu yote yanawezekana
 
Unga wa mjomba Manji ndo upi huo?
Fundi sikuwezi kwa misamiati! 😀
Lakini unafikiri US anaweza kukurupuka tu na kumpiga Dogo, si rahisi ki hivyo bwana..
Si ule hata "kaka" au mwenyekiti wa maisha wa kile chama anatuhumiwa kuutumia?
Huo unga haukuwahi kumuacha mtu salama. Hata Makonda anachukiwa kwakumgusa kaka
 
But marekani anavifaa vya kuzuia makombora
 
Umeongea point sana mkuu
 
Inasikitisha Sana kwa taifa kama America kubishana kufyetua makombora na North Korea. Kuna siku kitalibuka kila nchi inatengeneza silah mzito mzito.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kwa NK wanavojigamba vita ikianza hapa Marekani ataingia mazima namaanisha ataanza kabisa kukung'uta na missiles za nuclear ili asiwahiwe

Kwa sasa uzuri ni kwamba All eyes on him, watakuwa wanam monitor 24/7 so sio rahisi awawahi.
Huu ndio uzuri wa ku deal na watu wenye kufikiri vizuri. Inaonekana kabisa kwamba vita ikitokea it's going to be Catastrophic at the Korean peninsula, with victims from both the US and its allies. Kitu ambacho hawakitaki na ndio maana wanaenda pole pole na mnyoa kiduku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…