Pentagon And South Korea Respond

Tatizo sisi wajuaji kuliko kina Mattis na ukiangalia sisi hatujawahi kwenda hata mgambo ila twajua sana

Marekani anafanya risi assessment kwanza anataka amfanyie surprise attack ambayo hatakuja sahau maisha hata wengine wataogopa kupiga bit
Mkuu umesema kuna watu wanajifanya wajuaji sana wakati ata mgambo hawajawai kwenda,hapohapo wewe unasema marekani anajiandaa na surprise attack..!!we umejuaje kama kuna surprise attack?
 
uko sahihi, ni wazi kuwa jamaa anapatana na madikteta wengi kuliko viongozi wengine hawa wa ulaya, so hawataweza ku risk shda kwa kum approve Putin then aka mu approve Kim, kwa hiyo yafaa achil tu
 
Hahah!, ama kweli wewe Fundi, "akaambiwa na Kim"...[emoji16]

ze kokuyo kumbe ndio tabia yenu ya kujifungia na kusubiri kijua kichomoke halafu muanze mbele kimya kimya! [emoji28] [emoji23]
 
uko sahihi, ni wazi kuwa jamaa anapatana na madikteta wengi kuliko viongozi wengine hawa wa ulaya, so hawataweza ku risk shda kwa kum approve Putin then aka mu approve Kim, kwa hiyo yafaa achil tu

Kwa kweli ku chill muhimu.
Uzuri wake ana make sure watu anaoweka na team yake wako vizuri katika sehemu husika.
Kama alivyoweka mostly ma Generals.
 
Hahah!, ama kweli wewe Fundi, "akaambiwa na Kim"...[emoji16]

ze kokuyo kumbe ndio tabia yenu ya kujifungia na kusubiri kijua kichomoke halafu muanze mbele kimya kimya! [emoji28] [emoji23]
Yeah fund25 ushasikia tena USA akipitisha pitisha mi meli yake tena karibu na rasi ya north korea!!?
Nakuhakikishia kuwa kim alizifuta huko bahari ya Japan akaigonganisha na meli ya mzigo akata kuizamisha huwezi sikia tena akikaribia au kusogea huko !!
Adi atakapo badilisha program za mameli yake hujiulizi meli ina rada ya ghali kabisa wamezisifia zinaweza ona ata sindano hujiulizi ilishindwaje kuona meli la mizigo!!
 
Hahah!, huyu ni Fundi haswa, na alivyopangilia maneno sasa! [emoji23]
Hahaha... Ila kichapo kikianza asije akayakataa hayo maneno maana naona tayari Marekani kashatoa Onyo kwamba kinachosubiriwa ni Order tu.
 
Ni kweli Fundi ile ajali ilishangaza lakini sifahamu sababu maalum ya kusababisha ile ajali. Walifanya Investigation lakini sijafatilia kujua what was the real cause. Ila najua meli ya mizigo ilikuwa kubwa sana ndo maana Destroyer iliharibika vile.

Lakini kwa hiyo unasema Kim ndo alipanga mpango mzima na kuzigonganisha makusudi...lol!
Wallah wewe ni fundi25 [emoji16] [emoji28]
 
Hahaha... Ila kichapo kikianza asije akayakataa hayo maneno maana naona tayari Marekani kashatoa Onyo kwamba kinachosubiriwa ni Order tu.

Nimeona kule kwako asee!, hii noma sasa. Naona yamewafika kooni. Niliona kipande cha habari last week kuhusu the way White House wako pretty frustrated na NK na hii program ya Nuclear na jinsi ambavyo inachukua muda kuja na solution.
Hiyo ilikuwa last week, halafu tena jana mnyoa kiduku na akili zake kamlia timing Trump, tena wakati wana celebrate Independence day ndo akarusha tena dubwana lingine.
Haha tutasema makusudically, cos alipata attention yao yote kwa hiyo siku maalum ilivyo kwao.
 
Yani Kiduku ashukuru tu Korea kaskazini ipo karibu sana na kwao ila ingekua mbali kidogo tu km Japan bhas sasa hivi tungekua tunaongea mengine.
 
Yani Kiduku ashukuru tu Korea kaskazini ipo karibu sana na kwao ila ingekua mbali kidogo tu km Japan bhas sasa hivi tungekua tunaongea mengine.

Yap!, true!
Hiyo ni Issue, isingekuwa hao saa hii tungekuwa na habari nyingine.
Si unaona jinsi ambavyo haikumchukua round Trump na hakuchelewa kuyadondosha Syria na Afghan..
 
Hivi hawa wanagombea nini haswa. Marekani mambo ya hawa yanawahusu nini lakini?
 
Tatizo sisi wajuaji kuliko kina Mattis na ukiangalia sisi hatujawahi kwenda hata mgambo ila twajua sana

Marekani anafanya risi assessment kwanza anataka amfanyie surprise attack ambayo hatakuja sahau maisha hata wengine wataogopa kupiga bit
Tatizo unataka kusikia vitu unavyo penda wewe
Unasema watu halafu na wewe unaleta upuuzi huo huo wewe hizo habari za marekani unatoa wapi Kama sio ujuaji
 
Yap!, true!
Hiyo ni Issue, isingekuwa hao saa hii tungekuwa na habari nyingine.
Si unaona jinsi ambavyo haikumchukua round Trump na hakuchelewa kuyadondosha Syria na Afghan..
Afghani alidondosha haraka kwa sababu walikuwa wanataka kuchukuwa uleunga anaotumiaga mjomba manji na Afghanistan hawakuwa na uwezo wakutengeneza ata unga wa baruti!!
Syria nao ndio hivyo hivyo hawana hayo madude ya kiduku pia usisahau kuwa kim kwenye maswala ya software na program za kwenye computer wapo vizuri sana ndio maana wanatumia zao wenyewe inawezekana software zao zinafungua kila kitu kwaiyo note USA anajuwa uwezo huo na madhara ambayo kiduku anaweza mfanyia na koduku anajuwa 100% uwezo wake ndio maana anajaribu tu inawezekana anakitu kikubwa kuliko anacho jaribu!!!
 
Unga wa mjomba Manji ndo upi huo?
Fundi sikuwezi kwa misamiati! 😀
Lakini unafikiri US anaweza kukurupuka tu na kumpiga Dogo, si rahisi ki hivyo bwana..
 
Unga wa mjomba Manji ndo upi huo?
Fundi sikuwezi kwa misamiati! 😀
Lakini unafikiri US anaweza kukurupuka tu na kumpiga Dogo, si rahisi ki hivyo bwana..
Siyo kukurupuka tu hata kutuma drone ya kumchunguza hawezi anga la north ukikatiza bila tarifa hakuna warning unatunguliwa tu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…