BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,155
- 2,171
Baada ya RUSSIA kuanza kutoa kichapo kwa FSA na ISIS Washintong imesema OBAMA kaamua kuacha kuwafundisha waasi na kuwapa silaha Train n equip program...Klub missile au Sizzler cruise missiles zilizokua fired juzi na warships zimekua gumzo hadi kupelekea US kulalamika kua haikufahamishwa maana zingeweza kuzigonga fighter jets zake...