Pensheni za PPF

Pensheni za PPF

hamsan mpili

New Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Kwa nini PPF haiongezi pensheni kwa wale wanaopata zaidi kima cha chini kama wafanyavyo nssf.Hawa nssf wanaongezea wastaafu wote kwa uwiano (yaani asilimia zinazolingana).Hamjui kuwa hali za maisha zinapanda kwa wote.Hii mnatufanya tuwashauri watoto wetu tuwashauri wajiunge na mifuko mingine na siyo ppf kwani haiwajali wastaafu.Kwani kwa mfano nikipata sh 180000 sistahili kuongezewa.Msisahau kuwa hata nilipokuwa nafanya kazi mchango wangu ulikuwa mkubwa.
 
Imekula kwako . unakumbuka kushusha neti kumekucha ?
 
Back
Top Bottom