and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Zifahamu pensheni na stahiki nyinginezo kwa Makamu wa Rais (na mwenza) kwa mujibu wa Sheria ya Stahiki za Viongozi wa Kisiasa Wastaafu (na wenza wao) ya Mwaka 1999 kama ilivyofanyiwa MAREKEBISHO hivi karibuni (2020)
1. Pensheni ya Mwaka (utalipwa kila mwezi) sawa na asilimia 80 ya Mshahara wa Makamu wa Raisi aliyepo madarakani.
2. Posho ya kumalizia(winding up allowance) sawa na miezi 24 ya Makamu wa Rais aliyepo madarakani,
3. Hati ya kusafiria ya kidiplomasia (Diplomatic passport),
4. Bima kubwa ya afya,
5. Gari litakayohudumiwa na serikali,
6. Posho ya kila mwezi sawa na 50% ya Makamu aliyepo madarakani,
7. Ulinzi,
8. Msaidizi binafsi,
9. Katibu Muhtasi,
10. Mhudumu wa ofisi,
11. Mpishi,
12. Mfua nguo (laundryman),
13 mfanyakazi wa ndani,
14. Mfanyakazi wa bustani,
15. Dereva mmoja
16. Kutumia ukumbi wa VIP (airport)