Mkuu hadithi ni masilimulizi, au tuchukulie mfano mdogo wa muziki, kile wanachoimba sio kwamba wako hivyo. Mtu anaimba hajala siku 3, lakini hapo anasema kwa jinsi nilivyoshiba hata kucheza siwezi. Kwa wale waelewa wa hadithi, hii ni aina ya hadithi ambazo husoma huku nikitengeneza movie kichwani kwangu.Kipindi John Mwaulsya anawaua wazazi Wa Peniela inaonyesha ilikua in miaka ya 80 mwishoni, mtunzi anatuonyesha mahala kuwa John na baba take Peniela waliwasiliana kwa simu ya mkononi (?), how possible?
Pili kipindi John Mwaulaya akiwa Mdogo (ikumbukwe kuwa hivi sasa in Mzee) aliwahi pewa laku mbili na mwanajeshi kwa kumtafutia mbwa wake aliyekuwa amepotea. Laki mbili miaka ya 1940 au 30? How possible?
Haya ni maeneo nionayo kuwa yanahitaji uboreshwaji katika Hadithi hii.
Otherwise, hii ni bonge la hadithi.
Hahaha eti jason mnonko sema John kaipa pepo kilaisi aisee ndo mana watu wanasema omba mwisho mwemaYeye alikuwa anatekeleza maagizo tu. Leo nina msiba mkubwa sana WA kuondokewa na John. Bora angekufa Jason lakini sio John. Huyu bwana mdogo mnoko mnoko
Wewe ungekuwa karibu yangu kerbu ingekuhusu. Unafanya ujinga gani wa ku quote hujui unaleta usumbufu kwa wanaotumia simu. Kuwa mstaarabujaman tafadhali sijaona muendelezo apa kuanzia thread ya kumi na moja aisee
Mkuu hii ndio inaitwa shetani akizeeka anakuwa malaika. Kama kweli maombi yanasaidia basi John Mwaulaya kapenya kiulainiHahaha eti jason mnonko sema John kaipa pepo kilaisi aisee ndo mana watu wanasema omba mwisho mwema
hahahahaha broo samahan duh sawWewe ungekuwa karibu yangu kerbu ingekuhusu. Unafanya ujinga gani wa ku quote hujui unaleta usumbufu kwa wanaotumia simu. Kuwa mstaarabu
Pamoja sana mkuuhahahahaha broo samahan duh saw
Watu tumepanic vepeeeee.LEGEEEE comeMbali na Utamu wa Hadith lakini kuna Utamu mwingine nao ni kufuatilia comment zote zinazo shushwa baada ya Mkuu Lege kutoweka
Hapo. Pia kuna Burudani yake kweli Jf raha Sana
Peniela na Methew ni ndg nimeanza kushtuka
Hapo ndio pa kumshangaa Mungu fainali yakondio itaamua unaenda wapi.Unaweza ukajifanya mchungaji kumbe hakuna kitu naMkuu hii ndio inaitwa shetani akizeeka anakuwa malaika. Kama kweli maombi yanasaidia basi John Mwaulaya kapenya kiulaini
Hata katika maisha yetu ya kila siku. Angalia hawa wazee wanao jidai wanatoa ushauri mzuri kwa vijana kwamba waepuke kutenda dhambi. Ulizia historia zao ndio utajua kweli shetani akizeeka anakuwa malaikaHapo ndio pa kumshangaa Mungu fainali yakondio itaamua unaenda wapi.Unaweza ukajifanya mchungaji kumbe hakuna kitu na
Jason wivu wa mapenz unamsumbua wakati hapendwi nahis atawasaliti wenzake maana ushirikiano wake siuoniYeye alikuwa anatekeleza maagizo tu. Leo nina msiba mkubwa sana WA kuondokewa na John. Bora angekufa Jason lakini sio John. Huyu bwana mdogo mnoko mnoko
Mkuu kumbe na ww umemshtukia. Mbaya zaidi kapigwa chini live ingawa jamaa ana mke lakini Penny akajichagulia jamaa mwenye msimamo. Hata hivyo yule bwana mdogo Jason lazima angesababisha misala kwa ajili ya wivu WA kifalaJason wivu wa mapenz unamsumbua wakati hapendwi nahis atawasaliti wenzake maana ushirikiano wake siuoni
Mjinga sana yule dogo hajakomaa kiakil haoni mwenzake Jaj ametulia Japo anajua penuel anagongwa na raisi Dr.kigomba lakn amekaisha tu angekuwa Jasoni angeenda kutoa taarifa police kwamba raisi anakuja demu wanguMkuu kumbe na ww umemshtukia. Mbaya zaidi kapigwa chini live ingawa jamaa ana mke lakini Penny akajichagulia jamaa mwenye msimamo. Hata hivyo yule bwana mdogo Jason lazima angesababisha misala kwa ajili ya wivu WA kifala