Peni za kurekodi, spycon pen

Peni za kurekodi, spycon pen

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
1,167
Reaction score
403
Huenda jina nikawa nimelikosea,wakuu naomba msaada wa kupata peni ambayo inauwezo wa kurekodi matukio yaani inakamera na inachukua tukio hata mita mia,zinapatikana wapi na kwa bei gani?
 
Huenda jina nikawa nimelikosea,wakuu naomba msaada wa kupata peni ambayo inauwezo wa kurekodi matukio yaani inakamera na inachukua tukio hata mita mia,zinapatikana wapi na kwa bei gani? ''dvr peni"
 
Huku nilipo zipo, kama utakuwa hujapata jibu, nikipata nafasi kabla ya ijumaa ntapita madukani kuangalia bei nimeshaziona ila sijawahi uliza bei.
 
Upo wapi?nielekeze duka lilipo.na kama utapata na bei niulizie bei gani?
 
... hili dili, ngoja nichangamkie soko,nani mwingine anataka nitafute mzigo wa kutosha...? mawani je...?
 
Huenda jina nikawa nimelikosea,wakuu naomba msaada wa kupata peni ambayo inauwezo wa kurekodi matukio yaani inakamera na inachukua tukio hata mita mia,zinapatikana wapi na kwa bei gani?

mita mia mbali sana, hizo ni kwa ajili ya kurecord matukio yaliyo karibu, mf umeingia ofisi ya wapenda rushwa na unataka kuwanasa. naweza kukuagizia kama unahitaji.
 
Huenda jina nikawa nimelikosea,wakuu naomba msaada wa kupata peni ambayo inauwezo wa kurekodi matukio yaani inakamera na inachukua tukio hata mita mia,zinapatikana wapi na kwa bei gani?

Call hapa ni ku connect fasta...kuna jamaa anauza zote hizo
Spypen
Spycam
Spywatch
Spyclock
Etc
 
Sasa tusubiri wachumba wanavyorecord wakigegedana kisha movieee kuvuja.
Maana Sie kwetu teknolojia inatafsiri nyingine kabisaa.
Katika nchi ziliathirika na mfumo huu ni India,yaani waliongoza kwa kurecords matuki ya faragha kimashara na baada uka kujaa mitandanao kw akupitia jamaa zao walipata mwanya kwa kuhamisha clips.

India hizi Peni zipo nyingi sana,maana hata mie ndio mwanzo niliona kwao.Ilikuwa peni ya mhudumu wa Super market ndio ilikuwa imetegeshwa,ila was friend of mine ndio akanipa data jinsi anavyolinda duka lake.

Nzuri sana,na zina resolution kubwa sana na zina bei na uwezo Tofauti ila ni kwa short distances.
 
nami nilikuwa nahitaji mkuu naomba nifanyie mpango wa kujua bei yake,

unataka kumrecord nani...lol!
kama haujapata majibu kutoka kwa mkuu hapo juu ngoja ni kusaidie, ziko zenye uwezo tofauti (resolution ya picha inayorecordiwa), 20-50k naweza kukuletea mpaka ikabisha hodi mlangoni kwako.
 
Huenda jina nikawa nimelikosea,wakuu naomba msaada wa kupata peni ambayo inauwezo wa kurekodi matukio yaani inakamera na inachukua tukio hata mita mia,zinapatikana wapi na kwa bei gani?

nami nilikuwa nahitaji mkuu naomba nifanyie mpango wa kujua bei yake,

Tembelea Godfrey Electronics mkuu.
Huwa nina bidhaa nyingi sana mpaka System za maofisin na majumbani pia nakufungia.
Au Fuatilia huu uzi wangu hapa https://www.jamiiforums.com/matanga...amera-devices-zinapatikana-kwa-bei-nafuu.html
 
Back
Top Bottom