Nini kiliwazuia wasimkamate kutekeleza matakwa ya sheria? kuna viashiria vya uongo kama si njama.
Nani kakurupuka? Mimi au wewe? Soma uelewe nini kimendikwa siyo kukurupuka tu. Mimi wala gari analotumia Mhashamu Policarp Kadinali Pengo silijui. Mantiki ya post yangu ilikuwa kumdhihaki jamaa aliyejibu post yangu kuwa Vague. Mimi nikasema gari la kifahari? Nikiwa na maana hiyo vague alikuwa akimaanisha Vogue? Najue vague ni kwamba haieleweki nami nikajifanya sielewi! Wapi nimesema anatumia gari la kifahari? Acha kukurupuka na kujifanya wewe ndio mkatoliki namba one. Mimi mwenzio ni mwenyekiti wa baraza la walei parokiani kwangu.
Sasa unaweza kunieleza huu ni utaratibu wa parokia yenu au wa wapi? Acha maneno ya kuungaunga. Tena jisikie mwenye mkosi kwa kujikosanisha na Mungu mapema namna hii mwaka ukiwa haujamaliza 24hrs. Kama wewe ni mkatoliki basi lazima ukiri imani yako kwa kanisa na sio kuleta majungu. Pale dhahiri ulimaanisha kulihusisha gari analotembelea Askofu na fedha za madawa, na ni kwa kuwa hujui linapatikanaje. Kama kanisa limefikia kuwa na wenyeviti wa mabaraza wa namna yako na kauli zako, basi Mungu atusimamie kwani tuanelekea kubaya."Utaratibu tuliojiwekea ni kwamba mtu ukitajwa tajwa basi unatakiwa kujivua gamba. Kwa hiyo Mhashamu Polycap Kardinali Pengo ametajwa tajwa kwenye madawa ya kulevya basi hana budi kujivua gamba asiendelee kulichafua kanisa la la mungu"
Gari la kifahari?
kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, sasa kama mtu anasimama kutetea drug dealers wanaotumia jina la kanisa kwa nini na yeye asiwemo kwenye list? wewe wadhani alihamishiwa kagera kwa mazuri? ni mengi yangelipuka kama angeendelea kaa hapa dsm. all in all, pengo aache unafiki, urafiki wake wa karibu na drug dealers watia mashaka. may be wote wanachonga michongo pamoja....who knows....? watu hawawezi just list him without knowing his involvement.
Hii hbr imepangwa na kikundi kdg cha watu, na wamelitumia gazeti la Habari leo ambalo chuki yake dhidi ya kanisa katoliki ilidhihirika tangu sakata la Sumbawanga. CCM wameamua kufanya mchezo wa devide and rule, lakini kuna siku watajuta.
Kuna vita kubwa mbili kwa sasa.....mwenye akili wala hatakiwi kuambiwa ,moja kunyamazisha kanisa kwa ujumla wake na watu wake kwenye kukemea maovu na kushiriki kwenye siasa za majukwaani.....hasa kwenye kuonya na kukemea.....pili kujaribu kupambana na wanavyodai mfumo kristu....kujaribu kupunguza nguvu za hao wanaojidai wametawala kila sehemu...maana sasa ni zamu yetu!!!!!!
kila kitu si siasa,hizi issue za kudhalilisha watoto zinzolikabili kanisa dunoa nzima sasa na wakatoliki wenyewe wanalalamika kwambapapa hachukui hatua anaficha madhambi,JE NI HABARI LEO,CCM AU SIRIKALI INAHUSIKA.yule pdre alomnajisi mtoto chuo kikuu kweye gari ni serekali imetunga au habari leo.anachotakiwa pengo kusema ni kuilazmisha serikali ithibitishe.HE WHO ALLEGE MUST PROVE
Umesema sawa kabisa.
Alazimishe au serikali ilazimishwe impeleke mahakamani ili akasafishwe au atiwe hatiani. Vinginevyo serikali ishtakiwe kwa ama kubambikia watu kesi ama kusaidia na kulinda biashara ya madawa ya kulevya.
kila kitu si siasa,hizi issue za kudhalilisha watoto zinzolikabili kanisa dunoa nzima sasa na wakatoliki wenyewe wanalalamika kwambapapa hachukui hatua anaficha madhambi,JE NI HABARI LEO,CCM AU SIRIKALI INAHUSIKA.yule pdre alomnajisi mtoto chuo kikuu kweye gari ni serekali imetunga au habari leo.anachotakiwa pengo kusema ni kuilazmisha serikali ithibitishe.HE WHO ALLEGE MUST PROVE
Hizo ni scenario mbili tofauti kwani pengo anahusikaje na siasa au anaongoza chama gani; au ameshiriki kwenye siasa kama CUF?
Namuona pengo kama mchonganisha wa serikali na waumini wakristo (ionekane JK anawaonea) kumbe yeye deep inside ni mhalifu..
Anakwepa mkono wa polisi kwa mgongo wa kanisa na cheo chake ..
wewe unajua sheria?
polisi hawakamati kila mtu wanaeambiwa ni mhalifu
lazima wawe na taarifa na ushahidi wa kukubalika mahakamani....
ndo maana wapo majambazi wakubwa wa ki mafia marekani
walikuwa hawamatwi ingawa wanajulikana wanachokifanya....
fuatilia historia za kina JOHN Gotti na AL Capone na wengineo akina Lucky Luciano....
Usijidanganye ukadhani unaongea na mtu mwepesi namna ya kunitaka niamini kuwa nilikosea kwa jinsi nilivyokufikiria mwanzo. Baraza la walei ndio linatumika kuhoji uhalali wa mambo ndani ya kanisa letu ikiwa ni pamoja na kuwadiscipline viongozi wabovu katika vikao. Sasa hebu tuyarejee maneno ya Mwenyekiti wa Baraza la Walei la Parokia
Sasa unaweza kunieleza huu ni utaratibu wa parokia yenu au wa wapi? Acha maneno ya kuungaunga. Tena jisikie mwenye mkosi kwa kujikosanisha na Mungu mapema namna hii mwaka ukiwa haujamaliza 24hrs. Kama wewe ni mkatoliki basi lazima ukiri imani yako kwa kanisa na sio kuleta majungu. Pale dhahiri ulimaanisha kulihusisha gari analotembelea Askofu na fedha za madawa, na ni kwa kuwa hujui linapatikanaje. Kama kanisa limefikia kuwa na wenyeviti wa mabaraza wa namna yako na kauli zako, basi Mungu atusimamie kwani tuanelekea kubaya.
Mimi sio mkatoliki namba one. Ila katika hali ya kuheshimu kanisa, sipo radhi kuona likichafuliwa na maneno yasiyo na ushahidi. Ni wajibu wa serikali kumkamata Askofu na kumfungulia mashtaka ili kanisa letu libakie kuwa safi. Otherwise ni uzushi na unashusha heshima ya aliyeutamka. Hatuhitaji serikali domokaya wala askofu muuza madawa.
Na bado nitaendelea kusema; Lowassa ameomba kushitakiwa kwa makosa yake anayoshutumiwa kwayo, mbona hashitakiwi? Tutumie akili zetu kama tunazo, kama hatuna tuendelee kujiita wenyeviti wa mabaraza bila aibu kwa kuwa hatujuani, ila Mungu anatujua.
We are not as pathetic as you may wish us to be kiasi tuanze kunung'unika tunaonewa. Kaa maisha yako ufe na uwaachie kazi wajukuu zako kuisubiri siku ambayo utasikia wakristo wanasema 'wanaonewa'. Kama Rais anazo taarifa za kutosha kama alivyosema, na ampeleke mbele ya vyombo vya sheria na tutampongeza kwa hilo kwani na sisi tutamsifu na kumshukuru kwa kutuondolea uchafu kanisani kwetu. Kinyume na hapo ni maneno ya saluni za kike.
Tazama ulivyo, deep inside, Pengo ni mhalifu?! Uhalifu gani?Al Shaabab au Boko Haram? Kama unajua kuwa kanisa ni such a powerful institution kiasi unaweza kujificha nyuma yake usishtakiwe kwa kuuza dawa basi niambie na Lowassa anajificha nyuma ya nini asishtakiwe kwa haya wanayoyasema kina Nape nyuma yake akigeuka wanafyata?
Kiongozi kutaja majina ya marekani hakuhalalishi yanayotokea Tz.
Ungetuliza akili kidogo ungegundua kuja serikali hii 2006 ilieafikisha mahakamani kina Massawe na Raymond kwa tuhuma za ujambazi ingawa hawakuwa na ushahidi wa kuwafunga.
Kwa nini wasifanye hivyo kwa hawa maaskofu wenye tuhuma za kuuza unga???
Kiongozi kutaja majina ya marekani hakuhalalishi yanayotokea Tz.
Ungetuliza akili kidogo ungegundua kuja serikali hii 2006 ilieafikisha mahakamani kina Massawe na Raymond kwa tuhuma za ujambazi ingawa hawakuwa na ushahidi wa kuwafunga.
Kwa nini wasifanye hivyo kwa hawa maaskofu wenye tuhuma za kuuza unga???
Sasa kama hamko pathetic; na kama siyo mhalifu anabwabwaji nini??
Anaweweseke, na wewe hapa unatoka mapofu kumtetea aaargh