Pengo: Nimesamehe


We kweli Mr.Zero aliekwambia Gwajima askofu wa mtaani nani?
 
where pengo mentioned in the canon law? Pengo is responsible in his premises which is dar only and not out that. And furthermore he signed and he allowed the sms to be dervered to his followers.

pengo was just giving his personal view as pengo, not church views!!
 
Jamaa ana dharau sijapata kuona.
Mkuu unaweza amini kuwa eti hamjui jina askofu Gwajima mpaka amuite mtu furani!!??
Watu wenye dharau za hivi huwa ni ngumu sana kusamehe KIKWELIKWELI.

usimlishe maneno mtumishi wa Mungu, hakusema hamjui bali amesema amesahau jina ( hakumbuki jina lake) sifa moja wapo wapo ya ubongo ni kusahau! kama ubongo wako hauwezi kusahau ili kuruhusu upokeaji wa new information basi utachanganykiwa
 
Munafiki sana pengo me mkatoriki ila jamaa atasababisha Gwajima atuhamishe kwake
 
Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
Unaposema ukalikombowe jimbo kwani limetekwa na nchi nyingine kama Idd Amin alivyoiteka Kagera?

Yani hata uwe na akili kiasi gani lakini ukiungana na wajinga ni lazima wakuambukize ujinga.

Yani Pasco alikuwaga, umebaki historia.
 
Sisi wapiga kura wa Kawe tunamsubiri kwa hamu kubwa Askofu Mfufua wafu katika sanduku la kura.
 
Ilimpasa Cardinal Arch Bishop Pengo kumsamehe yoyote aliemkosea kabla jua kuzama sawia na maelekezo ya Neno la Mungu.

Ila kwa ubinadamu ilichukua muda pengine kutoa tamko rasmi.

Ila itoshe kusema, kusamehe huwa ina faida nyingi sana kwa aliekosewa kuliko mkosaji.
 
Lakini kumbuka wakati huo ulikuwa ukiwahadaa watu kuwa wewe ni mtu huru usie na chama chochote cha siasa lakini ndani yake ukijua wewe ni ccm sasa lazima umpigie kampeni hata kama ulitofautiana nae maana wote sasa mmeshajionesha kwa wananchi kuwa ni ccm
 
Ila ukweli utabaki kuwa ukweli milele, Polycap Cardinal Pengo ndio mkosefu katika hili wala tusipindishe ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…