Kulingana na gazeti la Majira la leo ASKOFU wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka tena na kutangaza mapambano mapya dhidi ya mafisadi huku akidai nchi imeoza na kamwe kanisa halitakaa kimya na kulea hali hiyo.
- Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza.
- Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho.
- Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu.
- Asema Katoliki haliandai mgombea Urais mwaka 2010.
- Adai anayeogopa waraka wa Kanisa ni Fisadi.
Muadhama Cardinal Polycarp Pengo ... tuna separation of church and state ... remember?
Muadhama Cardinal Polycarp Pengo ... tuna separation of church and state ... remember?
Muadhama Cardinal Polycarp Pengo ... tuna separation of church and state ... remember?
Ni kweli nchi imeoza kiasi cha akinapengo kushindwa kuendesha ibada na kuingia katika ulingo wa kisiasa.mafisadi wamekuwa mbele wakidai kupambana na ufisadi ambao kimsingi hawaonekani wanaopambana nao.Inawezekana wanapambana na vivuli vyao.kwani kila tukiwauliza tajeni mafisani wananyamaza.ama kweli nchi imeozaKulingana na gazeti la Majira la leo ASKOFU wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka tena na kutangaza mapambano mapya dhidi ya mafisadi huku akidai nchi imeoza na kamwe kanisa halitakaa kimya na kulea hali hiyo.
- Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza.
- Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho.
- Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu.
- Asema Katoliki haliandai mgombea Urais mwaka 2010.
- Adai anayeogopa waraka wa Kanisa ni Fisadi.
Yes but kumbuka Serikali haina dini ila walioko madarakani wana dini na wale wanaoongozwa nao wana dini zao. Na ndiyo maana kila mara baadhi ya viongozi wa kiserikali huwa wana"quote" vitabu vitakatifu. Hivi tatizo ni kilichosemwa AU aliyesema???? If we can not diferentiate the two, KILICHOSEMWA NA ALIYESEMA, we will be narrowing our minds. BY THE WAY, WHERE DO YOU DRAW THE church and state SEPARATION LINE???Muadhama Cardinal Polycarp Pengo ... tuna separation of church and state ... remember?
Huo mwongozo una vipengere vimekaa vizuri lakini vile vile kuna vipengere vimeka vibaya. Hebu tazama kipengere kinachohimiza waislamu kuwachagua waislamu wenzao as if wanachagua IMAMU/SHEHEpengo amenena.........lakini wasiopinga sio tu mafisadi bali pia hata vyama ambavyo ni taasisi za dini kama cuf zinapinga waraka wa kanisa lakini zinaunga mkono mwongozo wa waislamu.
Ni kweli nchi imeoza kiasi cha akinapengo kushindwa kuendesha ibada na kuingia katika ulingo wa kisiasa.mafisadi wamekuwa mbele wakidai kupambana na ufisadi ambao kimsingi hawaonekani wanaopambana nao.Inawezekana wanapambana na vivuli vyao.kwani kila tukiwauliza tajeni mafisani wananyamaza.ama kweli nchi imeoza
My point is, hawa viongozi wa dini wakianza kuongelea siasa--they are subliminally imposing faith mandate for their waumini to follow what they are preaching, in this time sio Yohana mtakatifu tena bali ni siasa. Wakatoliki are soon going to give up their reasoning power and vote for whoever Kardinali Pengo is endorsing between those lines. Not because they want to, but because Pengo said that is what GOD and Jesus wants to. That is what Waraka is intentionally supposed to be interpreted na waumini.
It is a very dangerous trajectory for our country because once the debate is shifted to udini, the risks for conflict will increase and we are already masikini--the last thing we want is people to be voting in 2010 because of dini au ukabila. Unfortunately when shit hit the fan kardinali Pengo anakwenda zake Vatican kutulia na kutuachia msala nchini kwetu.
Ya Kaisari muachie Kaisari Kardinali Pengo, huko unakotupeleka hatutaki.