Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
mapenz yana nguvu kuliko ki2 chochote ndivyo ninavyoamini mpk sasa nilikuwa na mpenz wangu bt amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma kabla hata hajaondoka we were nt in gud terms ni kwa sababu ya cheating za hapa na pale,nilitarajia uondokaji wake ungenifanya niwe free from her kistress na hata kuachana nae bt hali ni ngumu kwangu 2nawasiliana kimtndo,nimedate wasichana wengne niweze kumsahau lakini wap akili yangu yote ipo kwake,jana ndio kanitamkia live kwamba kapata m2 mwingne so there is nthng I can do,nipo ktk transition period ya kuweza kumsahau ktk memory yanguiliyojaa huzuni,wivu na hasira,
nahtaj ushauri wowote ambao utanifanya niweze kumsahau kwa urahisi!!!

my dear, subiri upate atakayekudatisha ndo ujiulize kwa nini watu wanakabidhi mioyo yao kwa wapenzi........pole sana hao ndio manawake ndugu yangu i do wanda u guys kwanini umpe mtu moyo wako wote ????kwanini ulizaliwa nae?? to me it doesnt make sence namwogopa sana mtu wakukutana naye ukubwani
dadad FP bwaga moyo wako wote safisana natumia akili sana kuliko moyo wangu mie so naishi kwa maarifa sana kwenye hii dunia moyo wangu una nafasi ndogo sana katika kucontrol maisha yangu aisee .siwezi ukabidhi wote kama gunia la sukari niuzwe kwa kilo kusubiri kuisha nitaipataje furaha wakati wakilio changumy dear, subiri upate atakayekudatisha ndo ujiulize kwa nini watu wanakabidhi mioyo yao kwa wapenzi........
Mimi hii siishangai kabisaaaaaaaaaaaa, sababu ili nifurahie mapenzi naamini kwenye kujikabidhisha kwa mwenzangu mwili na moyo.....
Akinitenda, time is always the best solution......with time nitapona tu.
Siamini kwenye kupenda nusu nusu, naona sijitendei haki ya kufurahia mapenzi
ndo maana nimesema hivi mdogo wangu nivea, bado hujampata.......dadad FP bwaga moyo wako wote safisana natumia akili sana kuliko moyo wangu mie so naishi kwa maarifa sana kwenye hii dunia moyo wangu una nafasi ndogo sana katika kucontrol maisha yangu aisee .siwezi ukabidhi wote kama gunia la sukari niuzwe kwa kilo kusubiri kuisha nitaipataje furaha wakati wakilio changu
mapenz yana nguvu kuliko ki2 chochote ndivyo ninavyoamini mpk sasa nilikuwa na mpenz wangu bt amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma kabla hata hajaondoka we were nt in gud terms ni kwa sababu ya cheating za hapa na pale,nilitarajia uondokaji wake ungenifanya niwe free from her kistress na hata kuachana nae bt hali ni ngumu kwangu 2nawasiliana kimtndo,nimedate wasichana wengne niweze kumsahau lakini wap akili yangu yote ipo kwake,jana ndio kanitamkia live kwamba kapata m2 mwingne so there is nthng I can do,nipo ktk transition period ya kuweza kumsahau ktk memory yanguiliyojaa huzuni,wivu na hasira,
nahtaj ushauri wowote ambao utanifanya niweze kumsahau kwa urahisi!!!
ndo maana nimesema hivi mdogo wangu nivea, bado hujampata.......
kila mtu kapita huko kwenye kutumia akili badala ya moyo........ mara nyingi kama mtu smart unapoamua kuingia kwenye mapenzi unaanza kutumia akili, kadiri siku zinavyoenda na mnavyozidi kudatishana feelings zinahama kutoka kutumia akili mpaka kutumia moyo........
nakuelewa kama unasema unakuwa na mtu, kabla hajakuingia kisawasawa tayari mmeshaachana........
lakini kama unakaa na mtu kwenye mapenzi kwa muda mrefu.......mnapeana kila kitu......bado unatumia akili? basi mdogo wangu hufaidi ladha ya mapenzi.....
Onyo: usimkabidhi moyo mpita njia.................