johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,534
Kaamua kuacha kabisa kula maharage.sijakuelewa vizur unasema ameshatubu dhambi gani? ndo ile iliyomfanya atukanwe na Gwajima?
Mnatumia vibaya mitandao ya jamii kwa kutukana watu na hilo siyo lengo lililokusudiwa kwa uanzishaji wa mitandao hiyo.ndiyo maana serikali imepitisha miswada kwa hati ya dharura ili kuwabana mnaotumia mitandao kwa nia ya kuchafua watumishi wa Mungu na watu wengineAmetubu kitugan - Huyu Pengo ni yuda escariote amewasariti raia wa Taifa la Tanzania kwa kuungana na mafisadi akitetea matendo maovu ya mafisadi-ccm na viongozi wake.
Cardinal Pengo leo ameongoza ibada ya pasaka iliyofanyika kitaifa katika kanisa la Mt Maurus kurasini Dsm.
Katika mahubiri yake amewataka wakristo wawe watu wa TOBA na KUJIRUDI kama alivyofanya Petro baada ya kumkana Yesu mara tatu.
Amesema Petro alifanya dhambi mbaya labda kuliko Yuda kwani yeye alimkana Yesu akiwa anakiendea kifo. Amesisitiza yeye ameshatubu na kuwasihi waumini kutoona Haya kutubu mbele ya KRISTO.
Haleluya!
Mnatumia vibaya mitandao ya jamii kwa kutukana watu na hilo siyo lengo lililokusudiwa kwa uanzishaji wa mitandao hiyo.ndiyo maana serikali imepitisha miswada kwa hati ya dharura ili kuwabana mnaotumia mitandao kwa nia ya kuchafua watumishi wa Mungu na watu wengine

Amen, tena amehubiri akiwa na unyenyekevu mkubwa. Nami nakutakia pasaka njema.Amenena vyema mtumishi wa Mungu. PASAKA njema