AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,040
kilichomuuma ni usaliti wa JK wa kukataa kutaja majina ya wahusika. Pole kwa kushinda njaa sheikh ubwabwa.Kwanini Pengo ilimuuma ile kauli ya Kikwete? au ni mmoja wa washukiwa.
lakini siku hizo hana uzito wowote kulinganisha na Wakati za Nyerere.
Kwanini Pengo ilimuuma ile kauli ya Kikwete? au ni mmoja wa washukiwa.
lakini siku hizo hana uzito wowote kulinganisha na Wakati za Nyerere.
''Kuna walioandaa wagombea wao, na taasisi zao ambazo ni taasis za heshima zikagharamia uchapishaji wa majarida, wakaandaa semina, makongamano, na kufanya kampeni kwenye kila ibada. Lakini hawakufanikiwa kupenyeza mtu wao kwenye nafasi walioitaka, sasa hii tunayoishuhudia ni kuchanganyikiwa kwao na ndio maana nilieleza kule Dodoma wakati wa sherehe za kuzaliwa CCM kuwa, kuna baadhi yetu bado wamenuna na matokeo ya uchaguzi. Kwa bahati mbaya hata wakiendelea kununa, rais wa nchi hii ataendelea kuwa yule yule, hakuna mwingine, na shida zao watakuja kuniambia mimi hawana pakwenda.''
Huu ndio ujasiri wake Jakaya Mrisho Kikwete rais wa awamu ya nne, Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
hapo kwenye red na doubt sana...! sasa hivi nadhani watakuwa wanatoka mapovu kwa sana tu.....kauli yao itakuwa ya kumtete tu Sultan Kikwete ! hakuna jipya!naam mkuu, hapo umenena...,
Ngoja tuwasikie watasema nn khs hiyo kauli ya Pengo...!,
its ma hope that, na wao watakuja na kauli thabiti, safi na komavu ya kuijenga nchi yetu....!
Kwanini Pengo ilimuuma ile kauli ya Kikwete?
lakini siku hizo hana uzito wowote kulinganisha na Wakati za Nyerere.
Mipasho kama kawa, maneno gani gani hayo ya kusema prezidaa jamani
JF tusiingize udini kama hoja zijengwe kwenye utendaji na si udini wakuu
Kama wana jf tunataka kusaidiana kimawazo tuache uswahili kama huu, toa a reasoned analysis badala ya kuwa mswahili. kwamba pengo amenuna is rubbish!Bahati nzuri, watanzania walipiga kura kumchagua rais m k w e re, maneno ya kuudhi na kukera hasa walionuna ni jadi, natamani kuingia ndani ya moyo wa pengo kila akimuona JK, maana uwekezaji walioufanya kwa Slaa ni mkubwa sana.
Kama ni kweli ni sawa LAKINI HAKUIBA benki ili kushindaBahati nzuri, watanzania walipiga kura kumchagua rais m k w e re, maneno ya kuudhi na kukera hasa walionuna ni jadi, natamani kuingia ndani ya moyo wa pengo kila akimuona JK, maana uwekezaji walioufanya kwa Slaa ni mkubwa sana.
. kwamba pengo amenuna is rubbish!
punguzeni jazba kwani udini hauna maana sana mwisho ni mapambano yasiyo na tija kwani siku hizi mtu akiambiwa kitu watu wanatafsiri udini .....tatizo nini ? rais ajae anatoka visiwa vya Tumbatu sasa nyinyi mbona mnauanaNi vigumu sana kumuongelea Pengo na kuiacha dini yake, acheni tu tujadili halafu Tanzania si hakuna udini bali ni JK ndio anayeuongelea?