Akipendeza sana pia unakaribisha matatizo mengine pia....kila 'mtu' atamtamani!:confused3:
Akipendeza sana pia unakaribisha matatizo mengine pia....kila 'mtu' atamtamani!:confused3:
Hahahahaha LOL! Mkuu SMU....kwa hiyo ni bora awe nyuku nyuku...halafu hata mkitoka naye ukiwaona waliopendeza basi macho juu juu kushangaa kwa jinsi walivyopendeza hahahaha lol!
kwaniaba ya jf nakutunuku degree ya waliotukuka
kabla ya kumuoa alikuwa atamaniwi...bana bana bana a cha bana pendezesha yeye bana ...usiache watu wakusaidie kununua hata hereni za alf 5 pale kariakoo kuna wabaya kwenye matumizi wala awaangalii nyumban wameacha wapi wakikutana na small house
Hahahahaha LOL! Mkuu SMU....kwa hiyo ni bora awe nyuku nyuku...halafu hata mkitoka naye ukiwaona waliopendeza basi macho juu juu kushangaa kwa jinsi walivyopendeza hahahaha lol!
UbarikiweNajua utakuja na matatizo yake lakini leo naomba ujue matatizo ayakusaidii kusimamisha
kumweka mkeo awe bora kuliko wengine..ndio maana ukaacha kuchukua yale ya lasvegas
na kukimbilia nae kanisan..,kuna wanaume wenngi wakiwa nje wanatumika sana sana
wengi wako radhi kutoa hata laki kwenye ma club ya pombe ili radi watu wawaone
lakini sio kumnunulia mkewe hata khanga ,kitenge jamani hata gold za kupaka basi sh 5000 pale
kariakoo ukiitaji wapi ni pm..m sisemi amuwwapendezeshi kama uko kwenye huo mstari basi
ongeza juhudi..wanawake wengi tena wengine waume zao wana uwezo mkubwa tu unakuta njiani
kama wajawazito..maana mjamzito ukimuuliza mbona hivi anakwambia kwani niko mwenyewe ingawa
kwa ma didy aikuwa hivyo tena ujauzito kupendeza ilikuwa 105%
atutaki kukta manywele yako ovyo ati mzee mambo yake ovyo huku anashinda rosegarden plss
kwaakuwa ni vigumu kujua mfuko wako basi MUNGU mwenye rehema alienipa mda huu
kuwapa ujumbe viumbe wa Mungu walio duniani basi ni vyema tusiache kuwapendezesha waume zetu
Mungu awabariki
SMU hicho kiasi unachokizungumzia kuna watu wanaona wanapotezaKila kitu kwa 'kiasi'...kikizidi sana kuna shida zake. Halafu 'kizuri kula peke yako...usitake kula na nduguzo/jirani'!