pendezesheni wake zenu bana aka!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Najua utakuja na matatizo yake lakini leo naomba ujue matatizo ayakusaidii kusimamisha
kumweka mkeo awe bora kuliko wengine..ndio maana ukaacha kuchukua yale ya lasvegas
na kukimbilia nae kanisan..,kuna wanaume wenngi wakiwa nje wanatumika sana sana
wengi wako radhi kutoa hata laki kwenye ma club ya pombe ili radi watu wawaone
lakini sio kumnunulia mkewe hata khanga ,kitenge jamani hata gold za kupaka basi sh 5000 pale
kariakoo ukiitaji wapi ni pm..m sisemi amuwwapendezeshi kama uko kwenye huo mstari basi
ongeza juhudi..wanawake wengi tena wengine waume zao wana uwezo mkubwa tu unakuta njiani
kama wajawazito..maana mjamzito ukimuuliza mbona hivi anakwambia kwani niko mwenyewe ingawa
kwa ma didy aikuwa hivyo tena ujauzito kupendeza ilikuwa 105%

atutaki kukta manywele yako ovyo ati mzee mambo yake ovyo huku anashinda rosegarden plss

kwaakuwa ni vigumu kujua mfuko wako basi MUNGU mwenye rehema alienipa mda huu
kuwapa ujumbe viumbe wa Mungu walio duniani basi ni vyema tusiache kuwapendezesha waume zetu
Mungu awabariki
 
Baelezee baelewe banaa! Ila urudi na ya wadada kutunza waume pia.manake mwenza ni barua inayosomeka huko mtaani.sio hadi small house ikutumie msg kuomba poo!
 
Akipendeza sana pia unakaribisha matatizo mengine pia....kila 'mtu' atamtamani!:confused3:
 
nakuja nao hao mpwa ngoja nianze na hizi sitakimbichi hizi
 
Akipendeza sana pia unakaribisha matatizo mengine pia....kila 'mtu' atamtamani!:confused3:

kabla ya kumuoa alikuwa atamaniwi...bana bana bana a cha bana pendezesha yeye bana ...usiache watu wakusaidie kununua hata hereni za alf 5 pale kariakoo kuna wabaya kwenye matumizi wala awaangalii nyumban wameacha wapi wakikutana na small house
 
Hahahahaha LOL! Mkuu SMU....kwa hiyo ni bora awe nyuku nyuku :):):)...halafu hata mkitoka naye ukiwaona waliopendeza basi macho juu juu :) kushangaa kwa jinsi walivyopendeza hahahaha lol!

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SMU

kwaniaba ya jf nakutunuku degree ya waliotukuka
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wa dot com kila siku wanalalamika kufanywa ATM. Wanapenda ambavyo vishapendezeshwa.lol.
 
kabla ya kumuoa alikuwa atamaniwi...bana bana bana a cha bana pendezesha yeye bana ...usiache watu wakusaidie kununua hata hereni za alf 5 pale kariakoo kuna wabaya kwenye matumizi wala awaangalii nyumban wameacha wapi wakikutana na small house

Hahahahaha LOL! Mkuu SMU....kwa hiyo ni bora awe nyuku nyuku :):):)...halafu hata mkitoka naye ukiwaona waliopendeza basi macho juu juu :) kushangaa kwa jinsi walivyopendeza hahahaha lol!

Kila kitu kwa 'kiasi'...kikizidi sana kuna shida zake. Halafu 'kizuri kula peke yako...usitake kula na nduguzo/jirani'!:):):)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Najua utakuja na matatizo yake lakini leo naomba ujue matatizo ayakusaidii kusimamisha
kumweka mkeo awe bora kuliko wengine..ndio maana ukaacha kuchukua yale ya lasvegas
na kukimbilia nae kanisan..,kuna wanaume wenngi wakiwa nje wanatumika sana sana
wengi wako radhi kutoa hata laki kwenye ma club ya pombe ili radi watu wawaone
lakini sio kumnunulia mkewe hata khanga ,kitenge jamani hata gold za kupaka basi sh 5000 pale
kariakoo ukiitaji wapi ni pm..m sisemi amuwwapendezeshi kama uko kwenye huo mstari basi
ongeza juhudi..wanawake wengi tena wengine waume zao wana uwezo mkubwa tu unakuta njiani
kama wajawazito..maana mjamzito ukimuuliza mbona hivi anakwambia kwani niko mwenyewe ingawa
kwa ma didy aikuwa hivyo tena ujauzito kupendeza ilikuwa 105%

atutaki kukta manywele yako ovyo ati mzee mambo yake ovyo huku anashinda rosegarden plss

kwaakuwa ni vigumu kujua mfuko wako basi MUNGU mwenye rehema alienipa mda huu
kuwapa ujumbe viumbe wa Mungu walio duniani basi ni vyema tusiache kuwapendezesha waume zetu
Mungu awabariki
Ubarikiwe
 
pdidy huwa una mada nzuri ila tatizo lako ni moja ....huwa unaandika kama unakimbizwa......
 
  • Thanks
Reactions: SMU
umenena pdidy...
uanaume wa ukweli ni ku take care of ur wife and kids, sio kufungua zp!!lazima umng'alishe wife mkuu, sio wewe unang'aa wife amepauka utafikiri kipande cha muhogo...i&i
 
Kila kitu kwa 'kiasi'...kikizidi sana kuna shida zake. Halafu 'kizuri kula peke yako...usitake kula na nduguzo/jirani'!:):):)
SMU hicho kiasi unachokizungumzia kuna watu wanaona wanapoteza
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom