Kampeni za majukwaani tuwaachie wanasiasa. Ila mpenda "MABADILIKO" kampeni inaanza saa 12 jioni hadi 12 asubuhi. Nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda hadi kieleweke mwaka huu. Elimisha zaidi ya wanachi zaidi ya ishirini (20) umuhimu wa kupiga kura na kuiondoa ccm madarakani.
Lowassa atawaombea kura atapita kila jimbo na kumsimamisha moj moja na kumuombea kura.
Kifo cha wengi...
Kamanda hawa uliowataja kwenye mijimbo yao ya uchaguzi kazi wanayo kujinadi, sasa unataka waende kumpigia kampeni Lowassa hauwatakii mema.
Mgombea ubunge mwenye uwezo wa kuacha jimbo lake na kwenda kumpigia kampeni mgombea mwingine ni Zitto tu.
Kumekucha tena makamanda.
Add @dr slaa
Lowassa atawaombea kura atapita kila jimbo na kumsimamisha moj moja na kumuombea kura.
Kifo cha wengi...
Hana upumbavu Na wapumbavu
Wapumbavu ni akina nani?
Kamanda hawa uliowataja kwenye mijimbo yao ya uchaguzi kazi wanayo kujinadi, sasa unataka waende kumpigia kampeni Lowassa hauwatakii mema.
Mgombea ubunge mwenye uwezo wa kuacha jimbo lake na kwenda kumpigia kampeni mgombea mwingine ni Zitto tu.
Kumekucha tena makamanda.
Halafu kwenye majimbo yao nani atagombea?
Hana upumbavu Na wapumbavu
Yan hawa jamaa wanawazaga kwa kutumia masaburi...akili yao inawaza UKAWA tu...hadi hawajui wanachouliza au kuandika!Vipi mzee mwanakijiji vipi kina mzee Wasira mbona hujauliza swali hilo upande wa pili?Ushakuwa mccm wewe
Kampeni za majukwaani tuwaachie wanasiasa. Ila mpenda "MABADILIKO" kampeni inaanza saa 12 jioni hadi 12 asubuhi. Nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda hadi kieleweke mwaka huu. Elimisha zaidi ya wanachi zaidi ya ishirini (20) umuhimu wa kupiga kura na kuiondoa ccm madarakani.
Hawa wote wameambukizwa ufisadi na fisadi papa lowasa.Wafuatao natamani wawe katika timu ya kampeni UKAWA.
1.Tundu Lissu.
2.Godbless Lema.
3.Halima Mdee.
4.Esther Bulaya.
5.Joseph Haule.
6.Joseph Mbilinyi.
7.John Mnyika.
8.James Lembeli.
9.Alphonce Mawazo
10.Ismail Jussa.
11. Salum Mwalim
12.Benson Kigaila
13.David Silinde
14.Magdalena Sakaya
15.David Kafulila
Mbowe na mazuzuyakeWapumbavu ni akina nani?
4umovement.Wapumbavu ni akina nani?
Ahaaa swali lilounganika najibu!Halafu kwenye majimbo yao nani atagombea?