Akisha pata huo ufanya kzi bora yatamtokes kama ya herry muro,
Baada yakupata tunzo ya mwana habari bora akazushiwa mambo ya ajabu ajabu ilitu kumuua kihabari,
Kwa ma piiii piiii piiii yangu nikwamba bora abaki hivyo hivyo ilitufaidi habari zake,
naikubali kazi ya Sam Mahela lakini pia hoja yako inabidi izingatiwe.Ni kweli anastahili pongezi kwa kuripoti matukio tata yaliyojificha lakini alichofanya leo sio sahihi.
Simpi credit kwa kushika mifuko ya vinyesi with bare hands. Ile si dalili ya upendo bali ni dalili ya kukosa umakini. Hakuwa na sababu yoyote ya kushika mfuko ule wala kuji-expose kwenye mazingira machafu ilhali hajui mgonjwa yule anasumbuliwa na maradhi gani.
Next time anapaswa kuwa makini. Huwezi kuonesha upendo kwa wife wako kwa kujipaka damu zake za hedhi usoni
Umofia kwenu wana bodi,
Poleni ambao hamna umeme ila kwetu wakukinga huku,Nimekuwa nikimfatilia huyu mtangazaji wa ITV Sam Mahela kiukweli jamaa anastahili tu(n)zo ya mfanyakazi bora wa mwaka 2012/2013 ndani ya Ipp Media, Nimeona hilo kutokana na kufanya mambo ambayo hata wengine hawawezi, moja ya matukio niliyoyaona ni lile la mama alivimba na mguu na jingine ni la leo ambalo mzee aliyetelekezwa na wanae miaka 8 na anajisahidia mumo ndani ya nyumba lakini jamaa aliingia na kushika mifuko iliyojaa nnya na kufungua maplastiki yaliyojaa mikojo(with bare hand)! Mengi tunakuomba umpe mfanyakazi bora wa mwaka 2012/2013.
Nawasilisha.

BILA SHAKA ITV WANA VIGEZO VINGI VYA KUMPATA MFANYAKAZI BORA MAHELA ANAFANYA VZURI KWENYE KGEZO KIMOJA TU HABARI ZAKE ni aina ile ile
I Agree with you,halafu habari zake nyingi anazirusha kishabiki sana na kushindwa kuzuia hisia zake kuwa anatumiwa na upande wa pili baada ya kupokea chochote, ziangalie kwa makini habari zake utaona anabase kwa waliomlipa,na mara nyingi hafuati maadili na sheria za uandishi wa habari ndiyo maana ile habari ya mahakama aliyorusha kwa kumdhalilisha yule hakimu ITV walilazimika kuomba radhi coz sheria za kurusha habari za kimahakama zilikiukwa,Pia ni mtu anayependa kutumia Media kuhamasisha umma ili apate habari pasipo kuangalia madhara yanayopatikana kutokana na habari anayoitengeneza angalia kuna habari moja ya Mikocheni watu walifikia kuwachoma moto watu wakidaiwa vibaka kwa hamasa zake alizozitengeneza apate habari,ITV sio wajinga sana.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

i dont see anything special in a person perfoming his duties