King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,882
- 95,153
Sure, awe makin sio sifa kushika vi2, Dunia inamaambukizo mengi, Taifa/familia inamuhitaji, awe makinNi kweli anastahili pongezi kwa kuripoti matukio tata yaliyojificha lakini alichofanya leo sio sahihi.
Simpi credit kwa kushika mifuko ya vinyesi with bare hands. Ile si dalili ya upendo bali ni dalili ya kukosa umakini. Hakuwa na sababu yoyote ya kushika mfuko ule wala kuji-expose kwenye mazingira machafu ilhali hajui mgonjwa yule anasumbuliwa na maradhi gani.
Next time anapaswa kuwa makini. Huwezi kuonesha upendo kwa wife wako kwa kujipaka damu zake za hedhi usoni
Umofia kwenu wana bodi,
Poleni ambao hamna umeme ila kwetu wakukinga huku,Nimekuwa nikimfatilia huyu mtangazaji wa ITV Sam mahela kiukweli jamaa anastahili tu(n)zo ya mfanyakazi bora wa mwaka 2012/2013 ndani ya Ipp Media,Nimeona hilo kutokana na kufanya mambo ambayo hata wengine hawawezi,moja ya matukio niliyoyaona ni lile la mama alivimba na mguu na jingine ni la leo ambalo mzee aliyetelekezwa na wanae miaka 8 na anajisahidia mumo ndani ya nyumba lkn jamaa aliingia na kushika mifuko iliyojaa nya na kufungua maparastiki yaliyojaa mikojo(with bare hand)! Mengi tunakuomba umpe mfanyakazi bora wa mwaka 2012/2013.
Nawasilisha.
Binafsi namkubali yule wa kipindi cha dk 45