Mawazo huleta maendeleo na njia mbadara. Mimi nawaza tofauti. Uchaguzi mkuu uwe chini ya jeshi la wanachi. Tuwe na mfumo usioluhusu kuingiliwa. Na katiba itamke. Uchaguzi uwe ni tuzo ya heshima ya amani ya jeshi. Ili jeshi litende vema kuipa heshima bila making'uniko toka upande wowote. Pili uchaguzi unapowadia kuanzia kampeni raisi astep down nchi isimamiwe na spika asie na maelekezo juu ya jeshi dhidi ya uchaguzi. Jeshi lisimamie kampeni Kama ratiba ilivyo na usalama ikizingatia haki na Sheria ya uchaguzi kwa washiliki wote. Hii italeta kuaminika kwa tume ya uchaguzi ya jeshi. Tume hiyo iwe na wawakilishi wa vyama vyote kila kituo cha kura na kwenye tume pia.